Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 668
- 1,764
Mwambie ajipake mavi labda vidume vitajitokeza.
hahahaha babu jamani mecheka mie jamani...shkamoo lakini.
Mwambie ajipake mavi labda vidume vitajitokeza.
Mwambie ajipake mavi labda vidume vitajitokeza.
hongera mkuu kwa kuiona hii fursa....ranjan
Pm namba yake ya simu tafadhali!!!!!
Kwa vikao tu shida yake itatanzuka na wala haihitaji multi sector collab,under this one roof she will be happy!!!
hongera mkuu kwa kuiona hii fursa....
hilo neno mavi umenikumbusha maubiri ya padri juzi kwenye kongamano la injili hapa kanisa la njiro-arusha.......ukisoma malaki 2:3Mwambie ajipake mavi labda vidume vitajitokeza.
kwa kweli msaidiane....yey apate lift na wewe upate kampaniKwa nini atembee kwa mguu kinyonge wakati na mi nipo bored kwenye tukutuku????!!!
Hajafundwa huyooo!
Kuwa mzuri au smart ni nzuri lakini sio ndio kila kitu
umemaliza...mapenzi ni sanaa ya namna yake...kule nilikotoka mie wadada
wanapigwa darasa unaitwa unyago...kama mdada au mkaka hatafundishwa au
kujifunza sanaa ya mapenzi hatakaa avutie...wachache wenye bahati
walishazaliwa mafundi...
USHAURI WANGU.
kama unajua vizuri Hizi skills mfundishe..au amtafute mama mtu mzima
amfunde....
Mnadharau unyago mtachina mjini hapa.!!!!!!
kwa kweli msaidiane....yey apate lift na wewe upate kampani
hahahaha babu jamani mecheka mie ....shkamoo lakini.
Vigezo vya kupendwa usmart ni sehemu ndogo tu! anaweza kuwa na mapungufu mengine ndio maana hawamfuati! mfano kujiona kuwa yeye ndio mrembo kuliko watu wote n.k wanaume wa siku hizi hatuhitaji shida!habari za leo wanajamvi,hivi binti ukiwa smart kimavazi,namaanisha kimuonekano inaweza kusababisha wanaume wakaogopa kukuaproach? ninarafiki yangu ninafanyanae kazi, mdada ni mzuri,anajipenda yan ukimuangalia unaweza sema mdada ana msururu wa wanaume, chakushangaza katika stori amenishangaza aliponambia, hapo alipo hana boyfrend,anahisi wanaume wanamuogopa the way alivyo,yani wanaogopa kumuaproach. hali hiyo inamkosesha raha.but the gal mkimuona ni very smart,anapendeza,hakuna nguo alovaa acpendeze.
Mkuu weka picha
Vigezo vya kupendwa usmart ni sehemu ndogo tu! anaweza kuwa na mapungufu mengine ndio maana hawamfuati! mfano kujiona kuwa yeye ndio mrembo kuliko watu wote n.k wanaume wa siku hizi hatuhitaji shida!
sio kweli labda wa kuchezewa! unafikiri uzuri wa sura ni sababu ya kumfanya mtu awe na wewe? Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia kama huyo mdada! zamani ndio utasikia wasukuma wanakwambia bint mweupe ng'ombe 120! vijana wa sasa wanaelewa pumba ni zipi na mchele uko wapi? wa weza chukua mtu kwa sura yake but no enjoyment kwenye kuanzia tendo hadi kila kitu! kila mtu ana criteria zake huyo unasema yuko smart mara umehamia ni mzuri au unafikiri hayo maneno yana maana sawa! waweza ona mzuri kwangu akakosa vigezo!lakini wengi wanaangalia sura!
kwenye unyago wanafundisha namna ya kujiweka ili utongozwe?