Usmart wamponza

Usmart wamponza

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
habari za leo wanajamvi,hivi binti ukiwa smart kimavazi,namaanisha kimuonekano inaweza kusababisha wanaume wakaogopa kukuaproach? ninarafiki yangu ninafanyanae kazi, mdada ni mzuri,anajipenda yan ukimuangalia unaweza sema mdada ana msururu wa wanaume, chakushangaza katika stori amenishangaza aliponambia, hapo alipo hana boyfrend,anahisi wanaume wanamuogopa the way alivyo,yani wanaogopa kumuaproach. hali hiyo inamkosesha raha.but the gal mkimuona ni very smart,anapendeza,hakuna nguo alovaa acpendeze.
 
Mwambie ajipake mavi labda vidume vitajitokeza.
 
Inategemea amezungugwa na wanaume wa namna gani.
 
Huyo ndo mwanamke sema anakokaa au anakofanya kazi hajakutana na right men who understand what are inside the right woman. Kuna namna fulan girls wanajiweka easy to approach them....that does not make them better.
Asihofu na wala asichange anavyojiweka, she will get the right one.
 
Mwanamke anayejipenda sana ni hatari maana kila wakati anajifikiria yeye, hivyo hafai, vivyo hivyo kwa mwanaume anayejipenda kiasi hicho maana love is give and take
 
Hajafundwa huyooo!
Kuwa mzuri au smart ni nzuri lakini sio ndio kila kitu umemaliza...mapenzi ni sanaa ya namna yake...kule nilikotoka mie wadada wanapigwa darasa unaitwa unyago...kama mdada au mkaka hatafundishwa au kujifunza sanaa ya mapenzi hatakaa avutie...wachache wenye bahati walishazaliwa mafundi...
USHAURI WANGU.
kama unajua vizuri Hizi skills mfundishe..au amtafute mama mtu mzima amfunde....
Mnadharau unyago mtachina mjini hapa.!!!!!!
 
Wanaume wengi wanaogpa sana mabinti wnaojitambua! Kama huna hila sioni sababu ya kuogopa...mshauri huyo swahiba wako awe mwanaume!
 
Anaweza kuwa smart ila akawa na nyodo kibao au mashauzi Lazima vijana wampotezee

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Tatizo anajiweka katika matawi ambayo hastahili. Mwanamke akiwa anajipendezesha sana kwa nguo ambazo ni wazi kwamba hafanani nazo basi mimi kama mwanaume ntahisi kuna mtu anamuhudumia.
 
Tatizo anajiweka katika matawi ambayo hastahili. Mwanamke akiwa anajipendezesha sana kwa nguo ambazo ni wazi kwamba hafanani nazo basi mimi kama mwanaume ntahisi kuna mtu anamuhudumia.

Watanzania bwana...sio anajiweka ndivyo alivyo..si kila mwanamke smart anahudumiwa na mwanaume..wengine wanaendesha miradi ya familia zao zilobarikiwa...acheni maneno...khaaa..
 
Hajafundwa huyooo!
Kuwa mzuri au smart ni nzuri lakini sio ndio kila kitu
umemaliza...mapenzi ni sanaa ya namna yake...kule nilikotoka mie wadada
wanapigwa darasa unaitwa unyago...kama mdada au mkaka hatafundishwa au
kujifunza sanaa ya mapenzi hatakaa avutie...wachache wenye bahati
walishazaliwa mafundi...
USHAURI WANGU.
kama unajua vizuri Hizi skills mfundishe..au amtafute mama mtu mzima
amfunde....
Mnadharau unyago mtachina mjini hapa.!!!!!!

Mwe!!
Kumbeee
 
Yaani mtu ukiwa smart sana kila siku wewe unang'aa tu inakera inamaana kila saa unawaza jinsi gani utapendeza... hata maendeleo huwazi...
 
Back
Top Bottom