Usiyoyajua kuhusu Senegal

Uzuri wa wana jf wote ni wasenegari japo hawatumi hata picha moja ya senegal
 
Ndio, alikula hawakuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa kwetu vipi list ya matajiri wetu kumi, baada ya Mengi na Mufuruki kufariki?
 
Ungetupigia picha za hizo nyumba ambazo hazijapigwa lipu, na kitu Gani wanatumia kupambana na chumvi
 
Ungetupigia picha za hizo nyumba ambazo hazijapigwa lipu, na kitu Gani wanatumia kupambana na chumvi
Chumvi wameishindwa.
Kiujumla kwa asilimia 90 Dakar hawatumii bati zinaoza ndani ya muda mfupi....
Cement wanatumia zinazohimili chumvi kwa majengo makubwa. Ila kwa wenzangu na mie hali ni mbaya.
 
Chumvi wameishindwa.
Kiujumla kwa asilimia 90 Dakar hawatumii bati zinaoza ndani ya muda mfupi....
Cement wanatumia zinazohimili chumvi kwa majengo makubwa. Ila kwa wenzangu na mie hali ni mbaya.
Kwa ajili ya kuuezeka wanatumia nini
 
Chumvi wameishindwa.
Kiujumla kwa asilimia 90 Dakar hawatumii bati zinaoza ndani ya muda mfupi....
Cement wanatumia zinazohimili chumvi kwa majengo makubwa. Ila kwa wenzangu na mie hali ni mbaya.
Nauli kutoka dar to dakar ni shillingi ngapi za kibongo? Visa nayo bei yake ni sh ngapi? Na hotel bei ya chini kabisa ni ah ngapi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Nauli kutoka dar to dakar ni shillingi ngapi za kibongo? Visa nayo bei yake ni sh ngapi? Na hotel bei ya chini kabisa ni ah ngapi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nauli ni dola 700-850. Hakuna direct flight ni kuunga ambapo flight ni masaa 15-17hrs.
Kenya airways utafika Nairobi.
Ethiopia utaungia Addis.
Qatar utaungia Dubai.

VISA ni on arrival ni bure. Na ukienda kuongeza unapewa 3 months renewable bure.....
Muhimu uwe na invitation letter.

Malazi ni kuanzia XOF 10,000-15, 000/= sehemu standard unaweza pitia booking.com au AirBnB ukaangalia wanatumia sana mitandao kwenye upangishaji na ni vizuri ili kukwepa agency fee.
XOF moja ni 3.7Tshs.
 
Kwa hiyo nikiwa na Dola zangu 5,000 hapo Senegal nita enjoy sana sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…