Ni kweli zinazimika kutokana na fuel pump na fuel injectors nozzles kwenye combustor kukosa umeme, hapo "homeboy" nazungumzia mfumo wa gas turbine engines (Jet engines).
nafikiri jamaa wapo kwenye majaribio ya technology ya kupoteza ndeg ikiwa angani,na sitoshangaa kama haitaonekana bt wanawafanya watu waw ktk wakat mgumu maana ndug,jamaa na marafik wanapotea bila sababu za msng
Ni kweli zinazimika kutokana na fuel pump na fuel injectors nozzles kwenye combustor kukosa umeme, hapo "homeboy" nazungumzia mfumo wa gas turbine engines (Jet engines).
Bomu hilo! na kuna fununu kuwa very soon ndege ingine kutoka nchi mojawapo ya Ulaya kama hawatawakagua abiria na wafanyakazi wa airport vizuri ndege ingine kubwa ya rangi ya brown itadondoshwa! when the servants of God speak, the wise listen.