NTIGAHELA
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 368
- 257
LAANA INAWATESA AKINA MBOWE.
Mzee EDWIN MTEI na BOB NYANZA MAKANI waliianzisha CHADEMA ili ije kushika dola na kuonyesha utofauti kimatendo Kati ya CHADEMA na CCM.
WAZEE hawa waliweka pembeni maslahi yao binafsi na kutanguliza maslahi ya chadema na Taifa mbele. Waliijenga CHADEMA Kama Taasisi ya Umma chini ya falsafa ya nguvu ya Umma (PEOPLE'S POWER)
MZEE MTEI na BOB MAKANI walihakikisha wanaandaa VIJANA wa kushika nafasi zao wakiamini wao ni binadamu Kuna Leo na kesho lakini pia waliamini kupokezana kijiti Kuna leta mawazo mapya, nguvu mpya na ustawi wa chama Kama Taasisi.
MTEI aliongoza kuanzia 1992 hadi 1998 na MAKANI aliongoza kuanzia 1998 hadi 2004.
Lakini viongozi wa sasa wakiongozwa na FREEMAN MBOWE DADA wamekuwa na mienendo ya hovyo.
FREEMAN MBOWE baada ya kupokea UENYEKITI wa CHADEMA 2004 miaka 5 baadaye alibadilisha KATIBA YA CHAMA kwani awali katiba ilimtaka mwenyekiti wa Taifa aongoze MIHULA MIWILI tu (miaka 5 au 10). Yeye Mwamba akaondoa ukomo wa uongozi. Ndio maana mpaka leo yupo madarakani.
Akina MBOWE wametengeneza umungu mtu ndani ya CHADEMA. Wao ndio wanaamua Nani awe kiongozi ndani ya chama, Kama hawakutaki ukigombea unapewa majina yote mabaya. (Msaliti, mamluki, sumu, pandikizi, usalama, umetumwa na CCM n.k.
MBOWE na Kundi lake wao wamewafanya wadada wanaogombea Ubunge wa viti maalum kuwa vyakula vyao. Rushwa za ngono zimetamalaki, wamekomaa kuwatoa wale wadada kwa sababu waligoma kuvuliwa chupi na MBOWE.
Ruzuku na michango ya chama wanaitafuna na kuanzishia miradi yao binafsi.
Hawa jamaa wameshatoka kwenye misingi ya kuasisiwa CHADEMA, Sasa ni wasakatonge na fursa. Hata hii vita yao ni ya maslahi binafsi.
Badala ya kuandaa viongozi wa baadaye wao wamewafanya vijana kuwa madaraja yao, makarai ya kujengea wakimaliza kuwatengezea njia wanawadampo.
MBOWE na GENGE lako mna laana ya milele