fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,546
- 9,015
huyo anataka kuwaomba papuchi watoto wa kike 🤣🤣Inbox😄😄😂😂
usiombe samaki omba nyavuMtu aje akuambie amekwama wap halaf hela hutoi 😀😄
No mimi ni mtu wa staha sana,sema siwezi kutangaza nani na nani nishawasaidia bila masharti,niliwahi kuwasaidia mtu na mkewe ambao walijitangaza wamekwama vibaya sana huko dar ,maeneo ya tanganyika packers,niliwafuata na nikakaa nao siku nzima tukiongea na kupeana akili,hivi sasa wana duka la jumla na wamejenga nyumba ya vyumba 3Fimbo ya ukwaju naona unataka kuwatembezea watitonwa like mkong'oto.
Monetary doctor
Mkuu mungu akulinde kama kweli hutembezi mkong'oto.No mimi ni mtu wa staha sana,sema siwezi kutangaza nani na nani nishawaidia bila masharti,niliwahi kuwasaidia mtu na mkewe ambao walijitangaza wamekwama vibaya sana huko dar ,maeneo ya tanganyika packers,niliwafiata na nikakaa nao siku nzima tukiongea na kupeana akili,hivi sasa wana duka la jumla na wamejenga nyumba ya vyumba 3
Najua wengi hawaamini kwani uovu umezidi duniani,mimi ni mzee wa 64 yrs,nina wake 2 nina watoto kadhaa,siwezi kufanya vitu vya kijingaSema jamaa yng umeambua kuomba no nyuma ya macho yetu inbox
Acha utani,wewe kama uko vizuri acha wenzio wenye changamoto wajeNimekwama hapa topeni naomba msaada
Mbn umeji defence kwny age ebu tuchape na misitari kadha ya bible au vifungu vya quruan tujenge imani 😄Najua wengi hawaamini kwani uovu umezidi duniani,mimi ni mzee wa 64 yrs,nina wake 2 nina watoto kadhaa,siwezi kufanya vitu vya kijinga
Hivi mzee wa miaka 64 bado unataka kufanya hayo?Mkuu mungu akulinde kama kweli hutembezi mkong'oto.
Sikubahatika kupata elimu ya dini ndugu,na kwangu dini ni suala la private mimi na Mingu wangu tu,sio suala la kutangazaMbn umeji defence kwny age ebu tuchape na misitari kadha ya bible au vifungu vya quruan tujenge imani 😄
Kumbuka mbususu haina kustaafu.Hivi mzee wa miaka 64 bado unataka kufanya hayo?
Na hilo watu waje inboxSikubahatika kupata elimu ya dini ndugu,na kwangu dini ni suala la private mimi na Mingu wangu tu,sio suala la kutangaza