kweli wewe upo dunia ipi?
Mwanamke ukitongoza akakukubalia siku hiyo hiyo na akakupa papuchi siku hiyo hiyo sio kwamba ni mrahisi au nimalaya ispokuwa mlikutana wote mna migenye na demu akiangalia ana maugumu ya mwaka mzima alafu na wewe umejitokeza kwa nini asichangamkie fursa hahahaha
Wewe na yeye ndo wale wale first day anakukubali na wewe unatoa gegedo lako unakula
kupima hujapima
mnakuwa na haraka za nn??
mwisho wake ndo huu kulalamika
hapo ndo huwa siwaelewi wanaume unakuta kashamshoka dada wa watu lakini kugegeda haachi ni nini? hebu jifanye kama humuoni hata akikugusa kila siku mtafutie sababu mara nimechoka, sijisikii na unalala na pajama uone kama hata ondoka, sio kila sku uko kifuani mwake unategema mwenzio aeleweje?
Mhhhh unayezungumza nae yupo JF? au unataka utuoneshe ni kiasi gani umegandwa na una dharau zisizokuwa na akili? So ulitaka nini kwa huyo dada? Na kama ulivyofanikiwa Kumtia mkononi mwako unashindwa nini kumwambia I was not serious with you ili aondoke zake? Btwn huwa mnakutana na wadada wa wapi?