Usiwasikilize wanaobeza ajira eti ukajiajiri. Unaweza kujiajiri ukiwa unafanya kazi bado

Ushoga huu...weka point against sio kudiscredit andiko la mwenzako!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hawa ndio wale wanajua matusi tu na sio kuweka hoja kinzani. asante mkuu. yeye anajiona ni binadamu kuliko wengine na ndio maana anadiliki kuita wengine vitu na sio watu. mara nyingi watu wa namna hii wana tatizo la malezi. ukiona matusi yao unawaacha wabaki nayo maana ndio malezi yao ufananisha wengine na vitu. yaani yeye kajiona binadamu sana kuliko wate tunaojadili hapa. mimi naonea huruma kizazi kunacholelewa na watu wa namna hii
 
Huu ni Uzi maalumu kwa watu waogawaoga na wasioweza kujisimamia hata biashara hawaijui pia.
Kujiajiri kuna hitaji nidhamu ya kiwango cha Flyover ya Mfugale. Kama huna nidhamu usijaribu hii maneno inayoitwa kujiajiri.
 
Back
Top Bottom