GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,281
- 6,697
Kwa wale ambao imewahi kuwakuta hususani watumishi wa Halmashauri
za Wilaya tabia hii ya watendaji wa Takukuru ni maarufu.
Kuna baadhi ya kesi wamekuwa wakipewa ushahidi (vidhibiti) kama vocha
au barua ambazo zimeidhinishwa na watendaji wakubwa wa Halmasahuri
huzipoteza kwa makusudi ili kuwalinda baadhi ya watumishi ambao wana
maslahi nao.
Hivyo, Iwapo atakuja mtendaji wa TAKUKURU na kukuomba nakala halisi(original) ya kitu ambacho kinaweza kuwa ushahidi Jiangalie sana.
Hakikisha kopi yako unayo pia, si watu wa kuwaamini. (SIO WOTE)