Usitumie iPhones kama una tabia ya kutoSAVE namba za simu

Boss Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
458
Reaction score
995
Kama headline inavyoeleza achana na iOS kama ni mvivu wa ku save namba za kwenye simu yako, hizi simu za iphones ziko poa ila kwa mimi mwenye tabia ya kutokuSAVE namba za simu mara kwa mara zimenishinda

Nina uwezo wa kuwasiliana na mtu mwaka mzima na namba ya mtu huyo nikawa sijaisave, Sasa ukiwa na hii tabia achana na iOS tumia Android phones itakufaa zaidi

Android phones ina uwezo wa kukupa kumbukumbu (call logs) za namba ulizopita hadi miezi 3 nyuma, lakini iPhone haiwezi kutoa kumbukumbu hata ya siku 5 zilizopita

Sasa kwa ww ambae una tabia kutoSAVE namba na unatumia iPhone, ikitokea siku unataka kupiga hiyo namba ambayo hujai save you’ll have to delete and delete and delete before logs from days ago will pop up. Too much stress.
Screenshot_20220702-195156.jpg
 
Kama headline inavyoeleza achana na iOS kama ni mvivu wa ku save namba za kwenye simu yako, hizi simu za iphones ziko poa ila kwa mimi mwenye tabia ya kutokuSAVE namba za simu mara kwa mara zimenishinda

Nina uwezo wa kuwasiliana na mtu mwaka mzima na namba ya mtu huyo nikawa sijaisave, Sasa ukiwa na hii tabia achana na iOS tumia Android phones itakufaa zaidi

Android phones ina uwezo wa kukupa kumbukumbu (call logs) za namba ulizopita hadi miezi 3 nyuma, lakini iPhone haiwezi kutoa kumbukumbu hata ya siku 5 zilizopita

Sasa kwa ww ambae una tabia kutoSAVE namba na unatumia iPhone, ikitokea siku unataka kupiga hiyo namba ambayo hujai save you’ll have to delete and delete and delete before logs from days ago will pop up. Too much stress.View attachment 2279446
Mke wa mtu😀
 
huyo ulomsave mke wamtu anajua kama umemsave hivyo😀😀😀na huyo jamiiforum je
 
Ndo kitu inanishinda kwa iphone... Samsung inatunza call log hata za mwaka.
 
Kama headline inavyoeleza achana na iOS kama ni mvivu wa ku save namba za kwenye simu yako, hizi simu za iphones ziko poa ila kwa mimi mwenye tabia ya kutokuSAVE namba za simu mara kwa mara zimenishinda

Nina uwezo wa kuwasiliana na mtu mwaka mzima na namba ya mtu huyo nikawa sijaisave, Sasa ukiwa na hii tabia achana na iOS tumia Android phones itakufaa zaidi

Android phones ina uwezo wa kukupa kumbukumbu (call logs) za namba ulizopita hadi miezi 3 nyuma, lakini iPhone haiwezi kutoa kumbukumbu hata ya siku 5 zilizopita

Sasa kwa ww ambae una tabia kutoSAVE namba na unatumia iPhone, ikitokea siku unataka kupiga hiyo namba ambayo hujai save you’ll have to delete and delete and delete before logs from days ago will pop up. Too much stress.View attachment 2279446
Sifahamu sana kuhusu iOs, ila nafikiri ni swala la settings unazojiwekea. Hata android pia tofauti yao tu ni kuwa wao wanakuwekea kumbukumbu zote za simu kwenye google account yako hivyo kufanya urahisi wa kuzipata.
 
Back
Top Bottom