DUh hili swala ni gumu kwa vijana. Yani ingekuwa muamala wa kuonga demu una mlio kama risasi aseeeh sasahivi tungekuwa kama Iraq πππππ tatizo tu n hili jambo nila watu watatu mtumaji mtumiwaji na mtandao ndio wanajuwa ukweli wa mambo. Kumaliza huu utata juwa kuwa wanaume wengi tumeumbiwa udhaifu kwa wanawake tena ukute ni pisi kali ngumu sana mwanaume kuchomoa.
All in All uoga wako ndio umaskini wako.ππππ wewe kuwa mwoga kusema huna hela nenda kakope pisi iende saloon yeye kwenye list yake ya siku mishe zake ana weka tick amepush fresh zimekamilika wakati wewe una ongeza madeni mara songesha, m-pawa na kwa msela. Kijana amka sasa chaguo ni lako.