AiseeMbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
HahahahaaaaNaweza kufanya ujinga wote lakin
Co huuu
Kweli kabisa mkuu uko sahihiNaweza kufanya ujinga wote lakin
Co huuu
Kweli mkuu hiyo ni zaid ya tatu mzukaMambo ya biko aisee siyo powa
Asemayo mtoa mada yana ukweli. Na siyo wanawake wote hawajui fadhira. Ww ni miongoni mwa wanawake wanajua nn wanachokifanya ila kuna wengine ni pasua kichwa.Mbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
Inabid uwe na moyo wa chuma mkuusomesha tu, akibadilika basi hamna namna
Mkuu ingawa bet na kamari nyinginezo zinafirisi, lakini kuna watu pia wanapata.kwahiyo haishangazi wachache kama wewe kupatikana kwenye kundi kubwa. Hata hivyo kumsomesha mwanamke ni kamari mbayaMbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
Mkuu anaweza kukuzalia mtoto na bado akakuachaDawa yao ni moja tu basi ukikosea hili ahah utachekwa ni kwamba unatakiwa umsomeshe na huku anakuzalia watoto akimaliza mwaka wa 3 awe amekuzalia watoto au 1.
Pande zote mkuuunaongelea kwa upande mmoja au pande zote
Kweli kabisaUkimsomesha demu subiri aje akusomeshe namba. Hiyo ni sawa kubet, tatu mzuka au biko
Wengi wamejira sana huu mchezo sio mzurYan kama ulishawahi kuskia mtu anasema nimejira ndio hiyo sasa ya kusomesha demu
Itapendezamtakuwa mmebaki 900 tu duniani..