Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Yalikukuta nini??
Kuna rafiki yangu yamemkuta!pia mimi nlikuwa na galfrd alikuwa anafanya kazi benki nlishawahi kumlipia ada ya mitihani ya bodi ya bankers,kilichofua ni historia!
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri asiponisaidia mimi atalisaidia taifa nimefanya kwasababu ya love kama haja apreciate sio tatizo langu ni lake
mke na gelofriend wote sawa. ukijitia kimbele mbele kuwasomesha itakula kwakoVijana wa kiume nawaasa "USITHUBUTU,NEVER EVER kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa,ACHA KABISA WEWE.
Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea UTAJUTRAA!
Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!
Somesha mke na sio girlfriend!
Unataka chukua hutaki acha!
Wadada wanajitetea, kinakaka wanalaumu.
Shapata jibu.....sisomeshi ng'o
mi natafuta mkaka nimsomeshe
JE NITALIZWA???