Hahaha hio part ya kufanana na baba mdogo, nikikumbuka sura zetu za kule naguswa sana,kama kweli nimefanana nao imbombo ngafu...Teh yani sijui nani atakubali tumuharibie watoto wake na hizi sura zetu za kina baba mdogo + miili yetu kama kina John Cena, ndo maana wababe sisi.[emoji120] [emoji120]
#teamnyakyusa#
Kumbe umejipanga mule mule, safi sana sista!! kila la kheriHahahaha huuu ushauri naukubali kabla hata hujanishauri....
Nikishajua we ni mnyakyusa nakimbia fasta...
Mimi ni mnyaki lakini sitopenda niolewe na mnyaki...hayo mambo yalikua zamani kaka angu..
Ila si kwasababu ya sura napenda miili yao,tall and black attractive kwakweli lakini tabia za wanaume wa kinyaki hapana kwakweli....ngoja ninyamaze nisije wakosesha wake humu...Kumbe umejipanga mule mule, safi sana sista!! kila la kheri
Heaven Sent umemsoma dadaako?! na wewe jipange kutafutia wanao sura za mauzo
Hahaha ntawatafutia kwa kweli, tatizo sasa vitu outstanding vinataka vitu outstanding vyenzao. Basi ngoja nipalilie maeneo ma engine ili wapoteze concentration na gusura gwanguKumbe umejipanga mule mule, safi sana sista!! kila la kheri
Heaven Sent umemsoma dadaako?! na wewe jipange kutafutia wanao sura za mauzo
Kweli kabisa bana, mwambie ajue kabisa, asije kusema hatukumshauri
Ila si kwasababu ya sura napenda miili yao,tall and black attractive kwakweli lakini tabia za wanaume wa kinyaki hapana kwakweli....ngoja ninyamaze nisije wakosesha wake humu...
We bana sista unapendaga kunichekesha sana loh, sasa ntakuwa sikukwoti bana!! eti wapoteze concentration na gusura gwako, daaah!!!Hahaha ntawatafutia kwa kweli, tatizo sasa vitu outstanding vinataka vitu outstanding vyenzao. Basi ngoja nipalilie maeneo ma engine ili wapoteze concentration na gusura gwangu
Wewe unajua vizuri msimamo wangu kuhusu suala la ndoa. So jibu unalo tayari lolWe bana sista unapendaga kunichekesha sana loh, sasa ntakuwa sikukwoti bana!! eti wapoteze concentration na gusura gwako, daaah!!!
Ila tafuta hela, siku hizi hela ina matter both sex, hope unakumbuka ule uzi wa lara 1
Me ukiacha tabia zao zote, naogopa sana misimamo ya wanaume wa kinyaki. Wale watu wakisema NO ni NO amemaliza. Na wana pride, hawayumbishwi kamwe.Niliwahi sikia kitu kama hicho kwa sana tu, so I can imagine......na wengine ni marafiki zetu so tunajuana vizuri
Ofcourse.......Wewe unajua vizuri msimamo wangu kuhusu suala la ndoa. So jibu unalo tayari lol
Teh uwe unaniquote tu bana, uongeze siku za kuishi duniani
Hapo sasa, make mwanamke wa kinyaki naye misimamo kama kawa, mume ndo kabisaa hataki kuyumbishwa, so I can imagine moto wake kwa kweliMe ukiacha tabia zao zote, naogopa sana misimamo ya wanaume wa kinyaki. Wale watu wakisema NO ni NO amemaliza. Na wana pride, hawayumbishwi kamwe.
Mmh ni hakukaliki humo ndaniHapo sasa, make mwanamke wa kinyaki naye misimamo kama kawa, mume ndo kabisaa hataki kuyumbishwa, so I can imagine moto wake kwa kweli
Tena hewa haswaaaa....inakera unakaa na wanaume mahali mna discuss issues then unagundua kuna bichwa tupu.Na uzuri woteeee unamuona kama kituko gani.Mmh haya bana!! ila hapo kwenye akili umenena point, kuna wanaume kichwani ni hewa kabisaaa
Duh aiseeee, we noma!! mkuu imekuwaje ukaja na conclusion hii?
Mi navojua wanyaki ni mojawapo ya makabila yanayojua ukabila kweli kweli, I mean hata kwenye mambo ya relationships wanapenda waoane wao kwa wao. Hii inapelekea mzunguko wa genes kubaki zile zile kizazi hadi kizazi, na kufanya community yao kufanana kwa kiwango kikubwa.
Kama lisemwalo ni kweli, basi kuna haja ya kuwashauri wapunguze kuzaliana wao kwa wao, changanyeni damu msiwe homogenous community kama wahutu au watusi. So wadau Heaven Sent, brenda18, miss strong na wengine ichukulieni hii positively mhifanyie kazi kama ina mashiko anyway, kamateni wachumba makabila mengine kujenga sura za wanenu. Mi ningekuwa Ke akyanani pamoja na kuangalia me kwenye promising future ningeangalia pia sura bana, for the betterment of my kids. Kusema hakuna me mbaya ni kuidanganya nafsi ilihali macho yanaona tofauti ipo, tena kubwa tu.
Sista atoto vipi Kaboom wako ana uhendisamu japo kidogo? au umefuata hela tu hamna kitu....teh teh!!
Yani unasubiria kuona atoto akinisifia?..Hiyo ni sawa na kusubiria kumuona Heaven Sent akimchamba mtu
wewe umewala 21 alafu unasema wao mal...aya? Embu jitafakari wewe pia, unatoa kibanzi kwnye jcho la mwenzio, huoni Hilo boriti kwako eeh??Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.
Hahaaa so anakuchafua bure bure tu my sista, ahaaaa hapa aisee, nahisi nimebadilishiwa sista
Ila si kwasababu ya sura napenda miili yao,tall and black attractive kwakweli lakini tabia za wanaume wa kinyaki hapana kwakweli....ngoja ninyamaze nisije wakosesha wake humu...