Hahaaa ila kweli ile collabo na kina sumbai ilinitoa kwenye mstari kabisa, hadi douta wako akanichana live, nahisi hata cute b alinikimbia sababu hiyo hiyoTeh teh..Douta anajielewa..We si unaona Mume wake hayupo now lakini still ametulia tu wala hana papara..We ile collabo yako na yule bazazi sumbai ndo ilikuharibia..Sina imani na ww..Nyie ni mnaopiga na kukimbia
Teh teh..Douta anajielewa..We si unaona Mume wake hayupo now lakini still ametulia tu wala hana papara..We ile collabo yako na yule bazazi sumbai ndo ilikuharibia..Sina imani na ww..Nyie ni mnaopiga na kukimbia
Nikikumbuka hilo swala daah, naona kama dunia inasimama..
Hahaha mnyaki na kuchambana wapi na wapi, tunatoa tu mabanzi heavy teh tehYani unasubiria kuona atoto akinisifia?..Hiyo ni sawa na kusubiria kumuona Heaven Sent akimchamba mtu
Hahaha miili kwa ajili ya kupiga kazi za kwenye mashamba ya mpunga. hivi unadhani biashara zetu za mpunga zinataka mashauzi?Hivi hii kitu ni kweli kumbe eeh, mi nikajua watu wanawatania tu!! aisee basi wapunguze kuzaliana wao kwa wao bana
Na kweli mkuu, yaani huyu douta wako umemfunza adabu kweli kweli, ujue ndo maana nilitaka nimlee me. sasa daddy na mwenyewe hamtaki mitala, haya shauriyo ngoja mabazazi waje kumharibu mkose bara na pwani
Teh teh..Douta anajielewa..We si unaona Mume wake hayupo now lakini still ametulia tu wala hana papara..We ile collabo yako na yule bazazi sumbai ndo ilikuharibia..Sina imani na ww..Nyie ni mnaopiga na kukimbia
Teh ndo uache ubazazi, mwaka mpya huuNikikumbuka hilo swala daah, naona kama dunia inasimama..
Ashukuriwe douta wako, aliinusuru hii ndoa yangu...maaana daaah.
Paka mke kaisusaa jf
Hahaha mshkaji unatusifia afu humo humo unaponda daah haya banaIla mko watamu kweli, nimewahi pata wawili mida tofaiti, mmoja chocolate alafu pale kati pamebalansi kila kitu! Kitu kinabana kwa wastani, kina joto kwa mbali, kina ubichi wa mbali, yaani kei ilinipagawisha balaa! Alafu pia nilipataga mwingine ila yee mweupe kama mrangi vile, nae vile vile!
Pia kwa mimi niliinjoi sababu wanakuacha unakuwa mwanaume, wao wanakuwa PASSIVE!
Tatizo kila mwanaume shemeji!
Mmh haya bana!! ila hapo kwenye akili umenena point, kuna wanaume kichwani ni hewa kabisaaamito mnaangalia sura ndo maana mnapata shida kwenye ndoa zenu.Angalieni tabia na akili pia....sio kisa mwanaume mzuri basi akuoe hata kama halina akili.😉Mie kwa kweli nmeacha kuangaliaga sura siku nyingiiiii
Hivi huko mashambani wanaendaga wamama tu? I mean wanaume hawaendi? coz nimesikia humu wadau wanasema wamama ndo watafutajiHahaha miili kwa ajili ya kupiga kazi za kwenye mashamba ya mpunga. hivi unadhani biashara zetu za mpunga zinataka mashauzi?
Kwa wanyakyusa usithubutu kuwa na demu wa ukoo wa manyafu
Hahaha wote tunasaka hela, ila wanawake tumebase mashambani zaidiHivi huko mashambani wanaendaga wamama tu? I mean wanaume hawaendi? coz nimesikia humu wadau wanasema wamama ndo watafutaji
Teh teh..Ukome kijana..namuomba asuse na kukupa unyumba kabisaNikikumbuka hilo swala daah, naona kama dunia inasimama..
Ashukuriwe douta wako, aliinusuru hii ndoa yangu...maaana daaah.
Paka mke kaisusaa jf
Ni mwendo wa ku-dilute ubaya, nasikia ndio sababu ya wadada kutaka kuzaa na wazungu.Duh aiseeee, we noma!! mkuu imekuwaje ukaja na conclusion hii?
Mi navojua wanyaki ni mojawapo ya makabila yanayojua ukabila kweli kweli, I mean hata kwenye mambo ya relationships wanapenda waoane wao kwa wao. Hii inapelekea mzunguko wa genes kubaki zile zile kizazi hadi kizazi, na kufanya community yao kufanana kwa kiwango kikubwa.
Kama lisemwalo ni kweli, basi kuna haja ya kuwashauri wapunguze kuzaliana wao kwa wao, changanyeni damu msiwe homogenous community kama wahutu au watusi. So wadau Heaven Sent, brenda18, miss strong na wengine ichukulieni hii positively mhifanyie kazi kama ina mashiko anyway, kamateni wachumba makabila mengine kujenga sura za wanenu. Mi ningekuwa Ke akyanani pamoja na kuangalia me kwenye promising future ningeangalia pia sura bana, for the betterment of my kids. Kusema hakuna me mbaya ni kuidanganya nafsi ilihali macho yanaona tofauti ipo, tena kubwa tu.
Sista atoto vipi Kaboom wako ana uhendisamu japo kidogo? au umefuata hela tu hamna kitu....teh teh!!
Yap yap yap, lazima sura ngumu iwe diluted, watoto wasije wakakulaumu bure!! hata humu JF kuna baadhi huwa walaani washua wao kuoa mke mwenye sura chachu (kumbuka ni mamake tayari) wakati mdingi alikuwa na fweza ya kutosha tu kuweka ndani chombo cha maana, teh tehNi mwendo wa ku-dilute ubaya, nasikia ndio sababu ya wadada kutaka kuzaa na wazungu.
Wabantu wengi sura nzito, angetafuta mama mrembo lkn toto akatoka kamkopi baba pia... damu zao kali.Yap yap yap, lazima sura ngumu iwe diluted, watoto wasije wakakulaumu bure!! hata humu JF kuna baadhi huwa walaani washua wao kuoa mke mwenye sura chachu (kumbuka ni mamake tayari) wakati mdingi alikuwa na fweza ya kutosha tu kuweka ndani chombo cha maana, teh teh
Hahahaha huuu ushauri naukubali kabla hata hujanishauri....Duh aiseeee, we noma!! mkuu imekuwaje ukaja na conclusion hii?
Mi navojua wanyaki ni mojawapo ya makabila yanayojua ukabila kweli kweli, I mean hata kwenye mambo ya relationships wanapenda waoane wao kwa wao. Hii inapelekea mzunguko wa genes kubaki zile zile kizazi hadi kizazi, na kufanya community yao kufanana kwa kiwango kikubwa.
Kama lisemwalo ni kweli, basi kuna haja ya kuwashauri wapunguze kuzaliana wao kwa wao, changanyeni damu msiwe homogenous community kama wahutu au watusi. So wadau Heaven Sent, brenda18, miss strong na wengine ichukulieni hii positively mhifanyie kazi kama ina mashiko anyway, kamateni wachumba makabila mengine kujenga sura za wanenu. Mi ningekuwa Ke akyanani pamoja na kuangalia me kwenye promising future ningeangalia pia sura bana, for the betterment of my kids. Kusema hakuna me mbaya ni kuidanganya nafsi ilihali macho yanaona tofauti ipo, tena kubwa tu.
Sista atoto vipi Kaboom wako ana uhendisamu japo kidogo? au umefuata hela tu hamna kitu....teh teh!!
Hapo sawa nimeelewa, kumbe ni suala la mgawanyo wa kazi tuHahaha wote tunasaka hela, ila wanawake tumebase mashambani zaidi