Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Acheni ukabila. Sioni tofauti yoyote ya wanawake labda mzungu na mwafrika lkn km ni bantu wote tanbia zilezile inategemea tu kakulia wapi na family background. Nimekaa Sumbawanga, Morogoro, Arusha Dar Songea Iringa kote design ni zile zile.
 
Umesahau moja, wana nguvu sana kwenye familia, mwanamme ukizubaa tu mwanamke atakua ndio kila kitu, atajivika ubaba na umama. mwanaume huwi na sauti ndani ya nyuma. Siwapendi kwa kweli. ila wanaume wako poa.
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

Hapana wadada zetu wana sura laini sana pia
 
achana nao hao hawana cha kuongea, halafu usikute hao wanaotukana wanyakyusa usikute wamelelewa na mama peke yake hawamjui baba tukubhakolela ukuti basigwana...... Najivunia kuwa mnyakyusa bidii na ujasiri ndio siraha yetu

Mma isyasigwana syo ungajobhaga, papo isigwana sya kisukyosa.
 
Kuna umalaya kiasi kwa kila kabila lakin ile rate ya umalaya kwa wanyaki iko juu sana,niliishi maeneo ya mwakaleli kule da ni noma,pande za katumba B pale,uyole,yaaan ndonikawafahamu tabia za umalaya wa wadada wa kinyaki.Mnyaki unamuacha leo kwa kumfumania wiki moja tu utaona amekuwa mpenz wa rafiki yako wa karibu utajiuliza lini walitongozana?kumbe walikuwa wapenz siku nyingi tu,Hahahahaha wanyaki ni noma sana very prostitutes
 
hawa watu wana uswahili fulani na ujeuri wa ajabu.
kabila lao inaonekana hawako trained kuapriciate mazuri ambayo mwingine anafanya.

usiombe ukaenda huko msibani kama mkwe, utakamuliwa mpaka ushindwe hata kurudi kwenu.!!!!
wakija msibani wanataka kula nyama tuu na wali. vitu vingine kwao inakuwa mwiko.!!
hili kabila ndio maana wamama wa kikinga wanakwambia OA KABILA LOLOTE LAKINI MNYAKYUSA!!!
 
Mmekazana Kuwasema Wanyakyusa Malaya, Niwakumbushe Pia Kwamba, Pale Mungu Alipo Shetani Nae Hachezi Mbali, Leo Hii Mkoa Wa Mbeya Ndio Unaongoza Kuwa Na Makanisa Mengi, Na Wachungaji Ni Haohao Wanyakyusa Wanaongoza Kalibu Nchi Nzima, Waimbaji Wa Nyimbo Za Injili Wanaongoza Haohao, Ikumbukwe Kuwa Shetani Anadili Na Mwenye Haki Ili Amwangushe Na Akishamwangusha Hampi Chansi, Penda Kabila Langu, Mpaka Natamani Niwe Naongea Rafudhi Ya Kinyakyusa Sema Nashindwa Kutokana Na Mazingira Niliyokulia, Nachukia Kweli Mtu Anaiga Kichaga Kipemba Kimasai Huku Yeye Ni Mnyakyusa, Ni Lini Wenyewe Wataiga Rafudhi Yetu? Negwa Mmasoko.
 
Umesahau moja, wana nguvu sana kwenye familia, mwanamme ukizubaa tu mwanamke atakua ndio kila kitu, atajivika ubaba na umama. mwanaume huwi na sauti ndani ya nyuma. Siwapendi kwa kweli. ila wanaume wako poa.

Kumbe eeh
 

We nae, si ungesuburi subiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…