dharau tunazo kabisaa tena mimi mmoja wapo na kazi tunafanya vizuri ndoa tunavunja kama wewe mwanaume suruali mbona utaisoma lakini kuna aina mbili za wanyakyusya wa kyela na wa tukuyu wa kyela ndio tunaongoza kwa dharau wa tukuyu wapole sana halafu pia tunapenda sana shule tunaweza tukawa tupo top 3 kwa makabila yote.ila wanyakyusa wakarimu sana sana sana.
Eeeeehhhhhh......!!!!!!! Napita mimi naelekea tukuyuuuuuuu......!!!!!!!!
mhhhh vipi wachaga na wakinga kwenye utafutaji naona wapo juu zaidi ya mnyakyusa
Mie nimeshawamwaga kama wanne hiv kipindi nipo mby city...they knw how to love,they are hardworkers tatizo ni wabishi sanaaaaa.Pia wanapenda kutawala vibaya mno
Yeah....nine ngwitika,abalumbu bangu banunu fijo kangi bakabakonyofu.
Tatizo Mnaoa Waandali Mnaita Wanyakyusa, Mnyakyusa Mzuri Asikuambie Mtu, Ndio Maana Mimi Nimezunguka Sana Ndani Na Nnje Ya Nchi, Lakini Ulipofika Mda Wa Kuoa Nililudia Asili Yangu, Tukuyuu, Na Mke Wangu Ni Mzuri Asikuambie Mtu, Nampenda Sana Mke Wangu, Fhalida.
Mma naloli nnkamu alipo jumo kuno bhabule mbapepo