halmashauri ya mji wa moshi inaongozwa na chadema ndio maana hakuna ubabaishaji pale,hao wanaokukamata hata uwape laki hawapokei watakupeleka kwenye uongozi unalipa hamsini alfu unapewa na onyokali hen unaenda na mambo yako.chadema tu wasafi jamani hilo halina mjadala,fanyeni mabadiliko kwenye maeneo yenu nanyi muwe wasafi kama sisi/