Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,323
- 6,863
Nabii hakubaliki kwaoHii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa?
Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini?
Karibuni waugwana
Kwaiyo hii ni psychological problem ya mtu binafsi sioComfort zone ndio tatizo kubwa
Kwaiyo hii ni psychological problem ya mtu binafsi sioComfort zone ndio tatizo kubwa
kwaio kama kijana kaona opportunity za kiuchumi alipozaliwa aziache akimbilie mjini?Nabii hakubaliki kwao
Kubwa zaidi ni comfort zone kipengere kinapoanzia, watu wengi hupendelea kwenda mbali na nyumbani sababu watakua huru kufanya kazi yoyote ilikujipatia ridhiki tofauti na nyumbani.Hii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa?
Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini?
Karibuni waugwana
kwaio kama kijana kaona opportunity za kiuchumi alipozaliwa aziache akimbilie mjini
Unaweza kuona Fursa ndio ila jamii isikukubali kwasababu wanakujua A-Z ndio maana au em ngoja tuone Majibu ya wengine.kwaio kama kijana kaona opportunity za kiuchumi alipozaliwa aziache akimbilie mjini?
Hapana hiyo ni general thought tu sio sheriakwaio kama kijana kaona opportunity za kiuchumi alipozaliwa aziache akimbilie mjini?
😂😂🙌🏾Nitarudi kukujibu nipo nalima.Ulipozaliwa Kuna mashamba mazuri yenye rutuba ukilima mazao hayataota kwa sababu ni kwenu?
kwaio unataka upendwe sindio?Unaweza kuona Fursa ndio ila jamii isikukubali kwasababu wanakujua A-Z ndio maana au em ngoja tuone Majibu ya wengine.
Mimi nafikri kufanikiwa ni suala la mindset haijalishi mtu atatafuta mali akiwa sehemu gani.Hapana hiyo ni general thought tu sio sheria
Mara nyingi, mazingira tuliyokulia yanaweza kuwa na mipaka ya kifikra au nafasi finyu za kimaendeleo kulingana na ndoto za mtu.
Ni vema kwenda mbali na nyumbani ulipokulia ili
1.Kupanua Mawazo:
Unapoenda sehemu ngeni, unakutana na watu wapya, tamaduni tofauti, na mbinu mpya za utafutaji ambazo hungezipata ukiwa nyumbani.
2.Kuepuka Mazoea:
Ukiwa nyumbani, ni rahisi kubweteka kwa sababu kuna "neti ya usalama" (familia na marafiki). Ukiwa ugenini, njaa ya mafanikio inakuwa kubwa zaidi kwa sababu unajua huna wa kumtegemea.
3Heshima ya Nyumbani:
Mara nyingi, thamani ya mtu huonekana zaidi akitokea mbali. Nabii hakubaliki kwao, na wakati mwingine mafanikio ya ugenini ndiyo huleta heshima unayostahili nyumbani.
Hata hivyo, si lazima kila mtu ahame, lakini roho ya utafutaji na kutokubali kufungwa na mazingira hayo hayo ni muhimu kwa maendeleo ukuaji na mafanikio
Mbona wamarekani wanafanikiwa ndani ya taifa lao, wakati wengine wanapambana kukimbilia marekani?Hii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa?
Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini?
Karibuni waugwana