Usisubiri mvue inyeshe ndio usafishe gari lako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usisubiri mvue inyeshe ndio usafishe gari lako

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Nov 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  Kuna waungwana wenye magari lakini ukiwaona walivyo smart na magari yao machafu vitu viwili tofauti kabisa
  wengine wanadiriki kusubiri mvua inyeshe ndio waanze kusafisha magari yao

  vile vile kuna wanaume wana hamu sana ya kuoa na wanapovuta mzigo kuutibia inakuwa ngumu sana sana;;hili limefanya wanawake wengi sana kukimbilia nje ya ndoa na kutafuta booster....isifike wakati watanzania tunakimbilia kuoa huku kutoa kwenye nyumba zetu tunaitwa wabaili hii ni laana..usisbiri mkeo umfumanie aje kukwambia tatizo unabana sana ndio unaanza kujivuta kuleta nyama samaki wakati unamlisha mwenzio maharage we ukirudi umeshiba lohhh nasema wanawake amkeni saa ya mapambano akuna kulala

  sasa kwa nini usubiri mvua ishakunyeshea na mbaya zaidi unakuta alikulia mkeo ni jirani yako kipenzi nyumba ya tatu kutoka kwako oooh anza kutoa usiabike mjini hapa
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  :washing:
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  msg sent
   
 4. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  naona leo kinywaji uliyokunywa uwe wainya hiyo hiyo daily mana umeniamsha usingizini thanx mnooooooooooooo
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  unachotaka wewe ni kuudumiwa 2 c ndio umeshaambiwa raha jipe mwenjewe
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mapenzi bwana. wengine wanatoa kila kitu wanaitwa mabuzi, wengine wanabana wanaitwa mabahili. wale wanaokimbia makasheshe ya sita kwa sita wanaitwa wzembe na wale wasiotosheka eti ni kosa la mwanaume kuwa mwanaume suruali. lakini la muhimu maisha yanaendelea na mapenzi yanazidi kurun dunia!
   
 7. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kweli,yaani hamna formula kabisa
   
Loading...