Usista duu unapovuka mipaka

Uhuru wa mavazi na style lol!
 
...tena haifai kupewa nafasi hata kidogo
 
Cha ajabu kipi hapo....kwani huyo ana tofauti gani na yule anayeingia nyumba ya ibada na kimini......???...ndugu zangu wa upande wa pili wanapaswa kulikemea hili kwa nguvu zote kabla halijaota mizizi na kuingia rasmi kwenye mitindo ya mavazi.....
 
midomo inafanana kama waziri flani hivi. Hivi karibuni alionekana bungeni akitetea muswada
 
Cha ajabu kipi hapo....kwani huyo ana tofauti gani na yule anayeingia nyumba ya ibada na kimini......???...ndugu zangu wa upande wa pili wanapaswa kulikemea hili kwa nguvu zote kabla halijaota mizizi na kuingia rasmi kwenye mitindo ya mavazi.....

nashangaa..eti dhambi yake inaweza ikawa zaidi ya wale wa dini flani wanaolinda bikra ya mbele kwa kutoa tigo???
 
Haiwezi kushinda ile ya wale wanakulana tigo mazabahuni...au kiongozi wao mkuu ameolewa na mwanaume mwenzie huku akiendesha misa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…