KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOHY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA

Kama unategemea kuajiriwa basi chagua course yenye mawanda ya ajira. Mfano mtu aliyesoma Business Administration anaweza akawa HR, Customer service officer, Trade Analyst, Banks and Microfinance (loan officer, back office, teller), marketing, promotion, sales, TRA kwenye mambo ya kodi, etc.
Mwisho wa siku kila mmoja kapangiwa fungu lake (kupata na kukosa)
Changamoto inakuja ni pale unasoma ili upate ajira na sio kusoma ili upate knowledge halafu mengine yatafata...masomo yote unakariri ili ufaulu hiyo knowledge utaipata vp?
Ukitaka kuthibitisha ilo Nenda hospital muulize swali Daktari uone atakavyojing'ata
Nakumbuka kuna kipindi UNESCO walitoaga nafasi za kazi pale France miaka hiyo watu walinikatisha tamaa sana kuomba lakini nilijaribu na nilipata kati ya watu 860 worldwide tukapata wanne.
Nakumbuka kuna kipindi UNESCO walitoaga nafasi za kazi pale France miaka hiyo watu walinikatisha tamaa sana kuomba lakini nilijaribu na nilipata kati ya watu 860 worldwide tukapata wanne.
Wanataka usiendelee level 6 uishie level 5 ili uweze kuajiriwa na Serikali kwa hio kwa maana hio wanaoendelea level 6 ni mafala wenzao walioishia level 5 wanaajiriwa wao wanaendelea kusota mtaani,