Usisikie tu sauti ukadhani...hasa kwa hawa watangazaji wa redioni

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,071
2,010
Kuna sauti yani nikizisikia hasa za watangazaji wa kike wa kituo cha Mawingu huwa nafikiri ni bonge za totoz maana wanaswag za biutful lediz kama za kina Sepenga(Neno moja lingine kiinglish) kumbe wa kawaiiida.Mfano:kuna hawa wa vipindi kama Temino, Power brekfast na Ala za Roho.

Sikiliza Toka Kwangu!
 
images
 
Back
Top Bottom