Usishindwe kujenga ramani ya bure

Usishindwe kujenga ramani ya bure

Changed ID

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
79
Reaction score
69
Nimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujen Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri

....UPDATE:Lastly nimeamua kumalizia na roof plan kabisa....enjoy the offer that you didn't get it before here and what you thought that can't happen into this Forum.
 
Attachments

Kweeli mzee naiweka hii.

Asante.
 
Nimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujenga...Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri
Hawa wenye jamii forum kila wakifanya mabadiliko yao yanaathiri, tangu wabadilishe hi version siwezi kufungua attachment ya PDF kutumia PC labda wamelenga sana wanaotumia app za android
 
Imetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
RAMANI.jpg
 
Imetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
View attachment 890119
Imetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
View attachment 890119
Imetulia ila inabidi mtu ajipange maana kama ni mtu wa kuunga unga hauiwezi.
View attachment 890119
Hahahaha....Unaweka pesa kidogo kidogo kwenye kibubu ili malengo ya kulala kwako pazuri yatimie
Nikipata mizuka tena ntawawekea na roof plan yake kabisa....
 
Nimetoa ramani (floor plan) ina details zote kila kitu ushindwe mwenyewe kujenga...Chukua yote,kama kuna sehemu utashindwa kuelewa micheck PM and I won't charge you....nut sections na baadhi ya michoro haijaandaliwa,ridhika tu na hiyo plan
NB.Iko katika mfumo wa PDF ili details zionekane vizuri
Great Mon learned comrade!
 
Back
Top Bottom