britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,057
Mara nyingi Tanzania haina sera za kitaifa , upenyo huu umpa rais kufanya ambayo anataka yeye, mfano
Usishangae mpaka Magufuli anamaliza uongozi wake amejikita katika miundo mbinu ya bara bara tu maana amezoea wizara hiyo,
Ukimpa urais Tundu Lissu, atajikita kubadirisha sheria mbovu tu badala ya kuyashughulikia mengine, hakuwahi kuwa waziri ila hulka yake ni kuleta mapinduzi ya kisheria nchini,
Ukimpa Zitto ye atakaa kwenye uchumi na walioficha pesa uswisi , hatakuwa na cha ujenzi wa bara bara wala nini,
Ukimpa mbowe ye ataimarisha ruzuku kwanza za vyama vya siasa,
Ukimpa Nape ye atakuwa anadhani muda wote uenezi
Ukimpa Makonda yeye itakuwa ni kufuatilia shisha na walevi tu
Ukimpa ndalichako atadili na shule ambazo hazijasajiliwa na passmark tu,
Ukimpa Mbatia yeye ataimarisha kikosi cha zima moto, na uokojia tu
Tunataka sera ya kitaifa,