Usiruhusu kuumia kupita kiasi kwaajili ya mapenzi

k majaliwa

Senior Member
Jul 31, 2017
140
186
Wanajukwaa heri ya mwaka mpya,

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna kipindi niliwahi kuandika jinsi nilivyoumizwa kimapenzi, nashukuru kwa ushauri mzuri wa wataalum wa saikolojia wa JF maana walinishauri vyema na hakika ushauri wao umenitoa kwenye majonzi.

Sintakusahau nguriti na kapiti mmefanyika baraka sana kwangu, najiona nina thamani kubwa tofauti na awali.

Nichukue wasaa huu kuwasihi watu wanaopitia wakati mgumu kimapenzi au walikwishapitia lakini wakashindwa kurudi kawaida.

Tumeumbwa na tabia tofauti na kamwe hatuwezi kufanana suala la kuachwa au kukataliwa halijaanza leo ni jambo ambalo lipo na lilikuwepo na litaendelea kuwepo kwasababu mapenzi yana mambo mengi.

Usikubali kuumia wala kuendelea kuumia wakati aliyekuacha anandelea kula raha na mpenzi wake mpya.

Kama umeachwa ona ni jambo la kawaida hata kama umeumia.

Fanya yafuatayo kutokuruhusu kuumia zaidi.

Kubali matokeo, uambie moyo wako hili haliwezekani tena.

Usijiruhusu kumuwaza tena. Futa kila kinachokuletea kumbukumbu ya mapenzi yenu ya nyuma.

Jaribu kuwaeleza watu unao waamini usikae nalo moyoni peke yako litakutesa.

Usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya wakat bado unaugulia maumivu.

Jiweke busy na mambo mengine.

Tumia muda wako kutafakari ukuu wa Mungu na kumshukuru kwani huenda umeepushwa na mabalaa.

Acha kuwaza kujiua. Jione kuwa unathamani kubwa machoni pa Mungu ndiyo maana Mungu amekuweka duniani.

Ukifanya hayo machache na mengine ambao wataalum wataongezea itakusaidia kuondoa machungu kwa haraka na kukufanya ufurahie maisha tena.
 
There was a time when I thought life was over and out
When you went away from me
My dying heart made it hard to breathe
Would sit in my room
Because I didn't want to have to go out
And see you walking by
One look and I'd break right down and cry
Now you say that you've made a big mistake
Never meant to take your love away
But you can save your tired apologies
'Cause it may seem hard to believe
But

[Chorus:]
I'm doin' just fine
Getting along very well
Without you in my life
I don't need you in my life
I'm doin' just fine
Time made me stronger
You're no longer on my mind

You were my earth
My number one priority
I gave my love to only you
Anything you'd ask of me
I would do
But somewhere down the road
You felt a change in the weather
And told me that you had to journey on
A kiss in the wind and your love was gone (long gone)
Now you say you never meant to play your games
Girl, don't you know it's far too late
Because you let our love just fall apart
You no longer have my heart

[Chorus]

When you said goodbye
I felt so all alone
There were times at night I couldn't sleep
My heart was much too weak to make it on my own
Baby after all the misery
And pain you put me through
So unfair to me girl
You're no longer my world
And I ain't missin' you at all

[Chorus]

See baby when you walked away
You didn't think that it would end up this way
But I knew you'd be coming 'round someday
Just as sure as my name is Wanya

[Chorus]
 
You might think it will help but not, you are living the pains in the past, yani yeye anakufanya au anaendelea kukufanya usipate mtu sahihi kwako aliendikwa na Mungu, kwanini unampa such a big victory?
Ni kanuni niliyojiwekea kabla kwamba sitazaa watoto na wanaume tofauti, nilishakosea lkn kukosea kwangu hakuta nifanya nivunje kiapo changu
 
Ni kanuni niliyojiwekea kabla kwamba sitazaa watoto na wanaume tofauti, nilishakosea lkn kukosea kwangu hakuta nifanya nivunje kiapo changu
Oh hapo nimekuelewa kwamba sio vema kuzaa watoto na wanaume tofauti tofauti lakini sio kusema kwmba hautakua na mwanaume mmoja sahihi kwako maishaani ambaye atakua mumeo sababu tu umeumizwa moyo na wengine waliopita mana Mungu alsema mwanamke ataacha wazaz wake ataambatana na mumewe vivyo hivyo kwa mwanaume..!
hua hatupendi kumshirikisha Mungu hivi vitu ndo mana tunaishia kuumia ..yeye ndo anajua mtu sahihi kwako ni yupi na yuko wapi, we ongea naye tu ukimanisha na atamsogeza karibu yako
 
Wanajukwaa heri ya mwaka mpya.

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kipindi niliwahi kuandika jinsi nilivyoumizwa kimapenzi, nashukuru kwa ushauri mzuri wa wataalum wa saikolojia wa jf maana walinishauri vyema na hakika ushauri wao umenitoa kwenye majonzi.

Sintakusahau nguriti na kapiti mmefanyika baraka sana kwangu , najiona nina thamani kubwa tofauti na awali.

Nichukue wasaa huu kuwasihi watu wanaopitia wakati mgumu kimapenzi au walikwishapitia lkn wakashindwa kurudi kawaida.

Tumeumbwa na tabia tofauti na kamwe hatuwezi kufanana suala la kuachwa au kukataliwa halijaanza leo ni jambo ambalo lipo na lilikuwepo na litaendelea kuwepo kwasababu mapenzi yana mambo mengi.

Usikubali kuumia wala kuendelea kuumia wakati aliyekuacha anandelea kula raha na mpenzi wake mpya.

Kama umeachwa ona ni jambo la kawaida hata kama umeumia.

Fanya yafuatayo kutokuruhusu kuumia zaidi.

Kubali matokeo, uambie moyo wako hili haliwezekani tena.

Usijiruhusu kumuwaza tena. Futa kila kinachokuletea kumbukumbu ya mapenzi yenu ya nyuma.

Jaribu kuwaeleza watu unao waamini usikae nalo moyoni peke yako litakutesa.

Usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya wakat bado unaugulia maumivu.

Jiweke busy na mambo mengine.

Tumia muda wako kutafakari ukuu wa Mungu na kumshukuru kwani huenda umeepushwa na mabalaa.

Acha kuwaza kujiua. Jione kuwa unathamani kubwa machoni pa Mungu ndiyo maana Mungu amekuweka duniani.

Ukifanya hayo machache na mengine ambao wataalum wataongezea itakusaidia kuondoa machungu kwa haraka na kukufanya ufurahie maisha tena.
Mi ktk mahusiano niliumia sana mbaka sasa sitaki tena mahusiano kilicho nitoa ktk maumivu ni kumtegemea Mungu na kukazana maombi siwafichi sikumbuki wala siumii kwa yaliyo pita pia nataraji Mungu ataniletea aliye sahihi kwangu maana huwezi ishi siku zote bila kuwa na mahusiano,cha muhimu ni kuomba Mungu atufutie maumivu ili maisha yaendelee,usipoteze machozi yako kumlilia mwanadamu bora hayo machozi umlilie Mungu apate kufuta maumivu na uamini kama yote yanawezekana kwa Imani,kumbuka Mungu asikilizi maombi ya mwenye dhambi hivyo unavyoenda mbele za Mungu kuomba fanya toba kwanza,ujikanye nafsi yako,uende kwa unyenyekevu yangu ni hayo,kuna muda maumivu hayawezi futwa na ushauri wa marafiki wala wanasaikologia,unaweza shauria ukaonyesha kuelewa ukiwa peke yako unalia sasa kwann usimtegemee Mungu kwa kila kitu maana jicho lake linakutazama wakati wote.
 
There was a time when I thought life was over and out
When you went away from me
My dying heart made it hard to breathe
Would sit in my room
Because I didn't want to have to go out
And see you walking by
One look and I'd break right down and cry
Now you say that you've made a big mistake
Never meant to take your love away
But you can save your tired apologies
'Cause it may seem hard to believe
But

[Chorus:]
I'm doin' just fine
Getting along very well
Without you in my life
I don't need you in my life
I'm doin' just fine
Time made me stronger
You're no longer on my mind

You were my earth
My number one priority
I gave my love to only you
Anything you'd ask of me
I would do
But somewhere down the road
You felt a change in the weather
And told me that you had to journey on
A kiss in the wind and your love was gone (long gone)
Now you say you never meant to play your games
Girl, don't you know it's far too late
Because you let our love just fall apart
You no longer have my heart

[Chorus]

When you said goodbye
I felt so all alone
There were times at night I couldn't sleep
My heart was much too weak to make it on my own
Baby after all the misery
And pain you put me through
So unfair to me girl
You're no longer my world
And I ain't missin' you at all

[Chorus]

See baby when you walked away
You didn't think that it would end up this way
But I knew you'd be coming 'round someday
Just as sure as my name is Wanya

[Chorus]
Asante mkuu
 
Umesema vizuri sana mkuu,kikubwa kumtanguliza Mungu,otherwise ukitumia akili za kibinadamu lazima uta taabika,hawakukosea waliosema kuwa mapenzi yanaua.Kwa hili la kusema "Usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya wakat bado unaugulia maumivu"linaweza kuwa zuri au baya,kama ukipata mwenza ambaye yuko vizuri inaweza kuwa ni faraja kwako na ukasahau yale yaliopita kwa kipindi kifupi sana ila ukipata wale wenzangu na mimi lazima ujutie kufanya haraka..
 
Back
Top Bottom