Usiruhusu kuumia kupita kiasi kwaajili ya mapenzi

There was a time when I thought life was over and out
When you went away from me
My dying heart made it hard to breathe
Would sit in my room
Because I didn't want to have to go out
And see you walking by
One look and I'd break right down and cry
Now you say that you've made a big mistake
Never meant to take your love away
But you can save your tired apologies
'Cause it may seem hard to believe
But

[Chorus:]
I'm doin' just fine
Getting along very well
Without you in my life
I don't need you in my life
I'm doin' just fine
Time made me stronger
You're no longer on my mind

You were my earth
My number one priority
I gave my love to only you
Anything you'd ask of me
I would do
But somewhere down the road
You felt a change in the weather
And told me that you had to journey on
A kiss in the wind and your love was gone (long gone)
Now you say you never meant to play your games
Girl, don't you know it's far too late
Because you let our love just fall apart
You no longer have my heart

[Chorus]

When you said goodbye
I felt so all alone
There were times at night I couldn't sleep
My heart was much too weak to make it on my own
Baby after all the misery
And pain you put me through
So unfair to me girl
You're no longer my world
And I ain't missin' you at all

[Chorus]

See baby when you walked away
You didn't think that it would end up this way
But I knew you'd be coming 'round someday
Just as sure as my name is Wanya

[Chorus]
Unaitwaje huu wimbo nmeupenda kinyama
 
dah,ni kweli?waweza penda mtu kumbe interests zenu zipo tofauti.hapo ndipo wahenga wanasema moyo wa mpenzi wako kichaka.ukiweza kuusoma kwa ndani taratiibu unaanza kuuachilia.ila ukishindwa yatakayokukuta asikwambie mtu
Hapo panakuwa shida kubwa
 
Mi ktk mahusiano niliumia sana mbaka sasa sitaki tena mahusiano kilicho nitoa ktk maumivu ni kumtegemea Mungu na kukazana maombi siwafichi sikumbuki wala siumii kwa yaliyo pita pia nataraji Mungu ataniletea aliye sahihi kwangu maana huwezi ishi siku zote bila kuwa na mahusiano,cha muhimu ni kuomba Mungu atufutie maumivu ili maisha yaendelee,usipoteze machozi yako kumlilia mwanadamu bora hayo machozi umlilie Mungu apate kufuta maumivu na uamini kama yote yanawezekana kwa Imani,kumbuka Mungu asikilizi maombi ya mwenye dhambi hivyo unavyoenda mbele za Mungu kuomba fanya toba kwanza,ujikanye nafsi yako,uende kwa unyenyekevu yangu ni hayo,kuna muda maumivu hayawezi futwa na ushauri wa marafiki wala wanasaikologia,unaweza shauria ukaonyesha kuelewa ukiwa peke yako unalia sasa kwann usimtegemee Mungu kwa kila kitu maana jicho lake linakutazama wakati wote.
Umeongea vyema kbsa lkn usisahau Mungu ametuumba kutegemeana hivyo uwepo wa wanasaikolojia bado ni muhimu sana kwa mtu anayepitia matatizo ya kisaikolojia japo Mungu ni kimbilio la mwisho .
 
Mi ktk mahusiano niliumia sana mbaka sasa sitaki tena mahusiano kilicho nitoa ktk maumivu ni kumtegemea Mungu na kukazana maombi siwafichi sikumbuki wala siumii kwa yaliyo pita pia nataraji Mungu ataniletea aliye sahihi kwangu maana huwezi ishi siku zote bila kuwa na mahusiano,cha muhimu ni kuomba Mungu atufutie maumivu ili maisha yaendelee,usipoteze machozi yako kumlilia mwanadamu bora hayo machozi umlilie Mungu apate kufuta maumivu na uamini kama yote yanawezekana kwa Imani,kumbuka Mungu asikilizi maombi ya mwenye dhambi hivyo unavyoenda mbele za Mungu kuomba fanya toba kwanza,ujikanye nafsi yako,uende kwa unyenyekevu yangu ni hayo,kuna muda maumivu hayawezi futwa na ushauri wa marafiki wala wanasaikologia,unaweza shauria ukaonyesha kuelewa ukiwa peke yako unalia sasa kwann usimtegemee Mungu kwa kila kitu maana jicho lake linakutazama wakati wote.
Binti ww una maneno matamu adi raha aisee.
 
Binafsi siwezi kumpa nafsi mtu akaniumiza kiasi cha kushindwa kufanya yangu..cha ajabu kuna watu mpaka wanajiua kwasababu ya mtu huwa nashaangaa sana
Haki kbs, sijawahi kukabidhi furaha yangu kwa mtu.
 
dah,ni kweli?waweza penda mtu kumbe interests zenu zipo tofauti.hapo ndipo wahenga wanasema moyo wa mpenzi wako kichaka.ukiweza kuusoma kwa ndani taratiibu unaanza kuuachilia.ila ukishindwa yatakayokukuta asikwambie mtu
Yaan tena ukishamjua mtu wala haikupi shida, unajipa time tu ya kujiweka kando nae.
 
Mi ktk mahusiano niliumia sana mbaka sasa sitaki tena mahusiano kilicho nitoa ktk maumivu ni kumtegemea Mungu na kukazana maombi siwafichi sikumbuki wala siumii kwa yaliyo pita pia nataraji Mungu ataniletea aliye sahihi kwangu maana huwezi ishi siku zote bila kuwa na mahusiano,cha muhimu ni kuomba Mungu atufutie maumivu ili maisha yaendelee,usipoteze machozi yako kumlilia mwanadamu bora hayo machozi umlilie Mungu apate kufuta maumivu na uamini kama yote yanawezekana kwa Imani,kumbuka Mungu asikilizi maombi ya mwenye dhambi hivyo unavyoenda mbele za Mungu kuomba fanya toba kwanza,ujikanye nafsi yako,uende kwa unyenyekevu yangu ni hayo,kuna muda maumivu hayawezi futwa na ushauri wa marafiki wala wanasaikologia,unaweza shauria ukaonyesha kuelewa ukiwa peke yako unalia sasa kwann usimtegemee Mungu kwa kila kitu maana jicho lake linakutazama wakati wote.
Kweli kbs na kuna muda tunajiingiza kwa watu ambao sio sahihi kwsbb tu ya kukurupuka na kutomshirikisha Mwenyezi Mungu.
Kumtegemea Mungu kuna faida na raha yake sana, nilipitia misukosuko kadhaa ya mahusiano ila nashukru sasa nimempata tunaeendana nae.
 
Hongera Mungu awabariki na awape misimamo thabiti asiwepo wa kubadilika.
 
Back
Top Bottom