Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 884
- 375
Nimekuja kugundua wanaume wengi ni wafuasi wa punyeto.
Baadhi yao wameoa na wengine ni ma single.
Punyeto husababisha unafika kilelen mapema na unachoka kabla mwenza wako hajafika kileleni.
Takwimu zinaonyesha asilimia 98 wanaume wanapiga punyeto.
Acha porno ndio chanzo
weka source ya takwimu uliyoiyona!!!!!!!!!!!!!!!
Vipi wewe hujawahi piga hiyo makitu??katika kila watu ninaopiga nao story 9 kati ya kumi ni mchezo wao.
najua hata ww unaweza kuta ni ka mchezo kako bt unaona aibu
ni kweli lakini jamani punyeto mie pamoja na kulaga papuchi naona badi ina nafasi zake hasa pale mwanaume anapoingin "period"
lakini 92% ya wanawake pia wana masturbate...je wao mbona sijasikia wakisema kuwa wanaishia kufika kileleni mapema? tujuzeni wanawake na msijekusema kuwa u dnt masturbate maana ndio zenu lol
sisi wanaume tunataman kila saa tofauti na wanawake.
but wanawake wakiwa kwenye hot period na wenyewe huwa watumwa kwenye dildo au ndizi na matango
Kumbe ndio mchezo waooo!!!! Ndio mana ukiwapa ninihiliu wana chokaa mapema ukiuliza vp wanasingizia stress....
Punyeto husababisha unafika kilelen mapema na unachoka kabla mwenza wako hajafika kileleni.
Takwimu zinaonyesha asilimia 98 wanaume wanapiga punyeto.
Ukiachana na hiyo makitu utapata ujasiri mkubwa sana wa kumfata demu na kuomba gemu. Binafsi nawaona wanaopiga Puli ni bora kuliko wanaoenda kununua machangu.
Aisee sijui imekaaje hii, ila kama ni kweli 98% ya wanaume wanakandamiza hii mambo, basi sio ishu kivile maana hao wanawake si wanaliwa kila siku au? Sasa hao wanaowala miongoni mwao si hawa 98% au??