[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Yeah, ni kweli. ANU na ENK ndo walishuka duniani na kuamua kutegeneza wanadam ili wasaidie katika shughuli zao kv. Kuchimba dhahabu. Ni stori ndefu saaana .....
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂kimemkataa...Hahahahaha au anachotumia kimemkataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesuu nimecheka maaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kimemkataa...
Yaani hiyo avatar yako uuwwii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ilimfaa mleta huu uzi[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]
Nani,huyu barikiwa???? 😂😂😂😂😂😂😂😂stakki mm jomoniii🏃🏃🏃🏃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesuu nimecheka maaa
Ngoja aje
Okay Adam ni mtoto wa kutengenezwa maabara..Yap sikupingi hebu "tetea hoja yako"..Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu!
Mwanzo 1: 26
" na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu"
Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani kuendesha shughuli zao kwa. kutumia nakala za biogenetic zao. Adamu ni mtoto wa kutengenezwa maabara, Eve was cloned fromAdam's stem cells. Jozi hizo waliipanga makusudi ili waijaze ulimwengu kwa kupitia reproduction.
Yaani shogaangu sio kwa vumbi hilo la congo usoni chaaa....😂😂😂😂😂😂😂huyo mbarikiwa aje tuu ila asin'tishe mm usiku huu ,.nsije ota buree..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] barikiwa kamu zisi wei plizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti vumbi la congo aki shoo umejua kunifurahisha usiku huu woiii[emoji23][emoji23]Yaani shogaangu sio kwa vumbi hilo la congo usoni chaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mbarikiwa aje tuu ila asin'tishe mm usiku huu ,.nsije ota buree..
Mkuu bangi kwani ina nini lakini?Haya sasa kavute bangi zako vzr,.
Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani walitoka Wapi?!Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu!
Mwanzo 1: 26
" na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu"
Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani kuendesha shughuli zao kwa. kutumia nakala za biogenetic zao. Adamu ni mtoto wa kutengenezwa maabara, Eve was cloned fromAdam's stem cells. Jozi hizo waliipanga makusudi ili waijaze ulimwengu kwa kupitia reproduction.
Yaaani mm sina mbavuu na miwani yake ka fundi chomelea😂😂😂😂😂😂woyyoo huyu barikiwa kabisaa huyuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti vumbi la congo aki shoo umejua kunifurahisha usiku huu woiii[emoji23][emoji23]View attachment 1028486
Ina extra vitu...Mkuu bangi kwani ina nini lakini?
Tangu lini unakula mwanadamu mwenzio umekua msukule au mchawi halisi?!Kuna kula chakula na kula mwanake ninavyojua mimi, sa we uliuliza ipi?
Okay Adam ni mtoto wa kutengenezwa maabara..Yap sikupingi hebu "tetea hoja yako"..
Na hao waliomtengeneza "ADAM" wametengenezwa na nani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kutetea hoja umeniacha mkuu, nitetetee kwanini?
Hao waliomtengeneza adam ni watoto wa malkia Orion, wanaishi huko kwenye galaxy zingine lazima uipite solo ndio ufike huko
Nyhama onagile.Natufanye MTU kwa mfano wetu.hapo mungu alikuwa na nani.je mbona kuna pambio linaimba.HAKUNA WA KUFANANA NAE.
Sent using Jamii Forums mobile app