Zurie
Platinum Member
- Jul 6, 2014
- 2,089
- 5,966
Kwako Mkuu wa Nchi hii,
Nimefuatilia kwa muda mrefu sana hizi teuzi zako. Nimeona trend kuwa unapendelea wanaume. Ndio Unapendelea!!!
Kuna wanawake wengii wana sifa zilizojitosheleza na ari nzuri ya kazi lakini hawapati nafasi, Sijui kwanini. Mwanamke pekee ninayekumbuka ulimteua ni yule wa 'Nini ya Walimu sijui'. Huku mitaani wanasema wewe umeathirika na "Mfumo Dume", lakini mimi nakutetea na kusema kuwa labda huwa unapitiwa tu.
Sasa nafasi ya kuni-prove wrong hiyoooo, Mkurugenzi wa Mkinga kazingua. Naomba uchague mwanamke hapo, sikucommand ila ni katika kuelekea lengo la 50/50 kwenye Uongozi.
Wewe ni msikivu sana na ni mwanaharakati mwenzangu wa Utetezi wa Wanawake maana ulivyowatetea wale wa Massaburi hakuna ambaye angeweza. Naomba Usiniangushe.
Wasalaam.