ha ha ha AVATAR? ha! hio ni sura yangu halisi kbsa na kijijini kwetu mimi ndio handsome, nilipiga maeneo ya morogoro mjini nikiwa nafwatilia 4m mzumbe chuo miaka ya nyuma. tena wajemeni natafuta MCHUMBa.

Da! Umenivunja moyo sana, am i that ugly dude? mbona kuna msichana na chatigi naye ananiambia hello baby boy...hi cute? au ananichora? kwa hiyo nafanana na masoud au Remmy?
STEVE D whats up ma bro! umenichekesha sana, unanitisha iskute na wewe ni wale wataalamu wa network itelegence, natafuta mchumba jamani Steve nitoe mwanangu sipati japo kijipato ninacho mboga haipigi chenga,
Ungekuwa Bongo ningekushauri uanzie Jollys. Vilevile kulekule Morogoro ungeweza kupata vitumbua vilivyoingia mchanga, wewe kazi yako ingekuwa ni kupangusa na kung'ata tu hahahaha