Usipocheka ujue unamatatizo

Usipocheka ujue unamatatizo

jimy limo

Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
14
Reaction score
5
Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa

Wazazi wengine wanaandika MBWA?MKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..

Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFU

1516618518069.jpg
 
sijawahi kutukana ila umentamanisha nikutukane... ikishachuja hii
 
Natamani Arsenal tuchukue hata Europa msimu huu hakyanani
 
Mwanaume wa mkoani Mara yake ya kwanza kuanzisha silidi
 
Kweli mm nina matatizo yaani sioni cha kuchekesha
 
Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa

Wazazi wengine wanaandika MBWA?MKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..

Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFU

View attachment 738172
Due hii Kali jamani mtatuvunja mbavu nimecheka mpaka nimedondoka wakaanza kunipepea nilipozinduka nikawahadhia nao wakadondoka chini puuu nami nikaanza kuwapepea kuna mzee w a makamo kama miaka 65 hivi kacheka mpaka kazimia nimeacha wanammwagia maji ya barafu
 
Back
Top Bottom