Winston Mtanzania
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 340
- 117
Hii Inakuhusu sana, hebu Izingatie.
Mkutano mkubwa wa Injili kwa wakazi wote wa Bukoba na majirani.
Karismatiki Katoliki Taifa, kwa Idhini ya Baba Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, wanakuletea Mkutano mkubwa wa Injili iponyayo Roho, Nafsi na Mwili.
Ni katika Viwanja vya Kaitaba Mjini Bukoba kuanzia tarehe 7 hadi 20 mwezi wa saba (Julai) kila siku kuanzia saa 9:00 Alasiri hadi 12:00 jioni.
Aidha kutakuwa na semina mahususi kwa watawa wote wa jimbo (mapadre na masista).
Vikao vya maandalizi ya Mkutano huu muhimu vinaendelea Emaus - Ubungo Dar es Salaam, Mwanza na Bukoba. Mawasiliano hapo chini;
Katika kufanikisha mkutano huu, jitahidi kuhudhuria pasipo kukosa maana Mwenyezi Mungu analo jambo la kusema nawe. Waalike na kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki wahudhurie maana sisi sote tunahusika.
Unaombwa kwa dhati sana, changia mchango wako wa hali na mali katika kulifikisha Neno hili la Mungu pasipo kukwama.
Gharama ya mkutano na semina zote ni zaidi ya shilingi milioni 70 za kitanzania (tsh 70 mil.) Changia Injili, baraka zikufikie wewe na familia yako.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na;
Ndugu Estelatus Mtema
Mratibu Katoliki Karismatiki Taifa
Simu no: 0754240886/0716240886
Au,
Ndugu Ladislaus Mulokozi
Mwinjilisti Jimbo la Dsm
Simu no: 0754060496/0787816278
Tumsifu Yesu Kristo....