Usipitwe. Furahisha macho hapa...

amejitahidi mtengeneza logo..
Kutengeneza logo from scratch is not an easy process, kwa asiyejua ataona uchizi ila kwa anayejua atajua usumbufu wake hadi kufikia hapo.. Sema designer akaze buti kucheza na texts zake na usafi wa logo zake, angalau angekua anacheza na resolution kubwa na kuzifanya ziwe so clean, hizo text ni predictable kabisa Times new Roman, ingependeza kitu ambacho nii tofauti au aliyotengeneza mwenyewe
 
Dreson4 za leo mkuu wangu? asante sana kwa ushauri wako. Nikwambie tu kila kitu ktk izi nembo ninabuni na kutengeneza mwenyewe bila kukopi popote pale. Na kuhusu resolution, nimefanya makusudi resolution ndogo ili asitokee mtu akataka ku misuse izo nembo za watu. na pia najitaidi sana kuwa simple ktk matumizi ya fonts. ninazo stylish fonts nyingi sana. asante tena na tena kwa kunipa moyo kaka. Ubarikiwe
 
Ubunifu toka kwa Mtanzania Mzalendo. Hakika tukimtegemea Mwenyezimungu. Kisha tukajiamini na kujibidiisha tutafanikiwa. Respect kwa wateja wangu wote, wanaonipa sapoti na wana JF kwa ujumla
 
Mafanikio upatikana kwa kumuweka mbele Mwenyezimungu na kukaza buti. Au sio?
 
Ni program gani ya computer unayotumia kutengenezea hizi logo mkuu? Nimezipenda.
 
Ni program gani ya computer unayotumia kutengenezea hizi logo mkuu? Nimezipenda.
Natumia Adobe Illustrator CS5 kaka. Na ninaifurahia vilivyo. It's so so efficient. Ijaribu na utafurahi mwenyewe
 
Natumia Adobe Illustrator CS5 kaka. Na ninaifurahia vilivyo. It's so so efficient. Ijaribu na utafurahi mwenyewe

Nice....sio mchoyo!!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
safi sana kijana haya n mambo yngu ila niliyaacha kidogo ila umenihamasisha kurudi
 
Kijana hebu ni-pm unipe contact zako nitakutafuta unitengenezee logo.
 
Upo vizuri kaka. Big up nitakutafuta nikianza business
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…