Usipitwe aisee soma hapa

Zimeandikwa mbinguni ndoa zote na Rabana, akipanga Rahmani, Inshaallah mtaoana....

Ukiwa wa kuolewa utaolewa tuuuu!
 
Ai huuuuuuuuuu......its non of our bussiness
 
kisu kwenye mfupa ......la maadui
 
Mimi
Nataka nianzishe
Campaign yangu wanaume wote tuwapige mimba tu wasichana unabeba mtoto basi maana wasichana wa sikuhizi hawana adabu!
 
Hapa ni manzese au ni pale tandale kwa bi nyau?
 
nimesoma mwanzo hadi mwisho...nimegundua ujumbe huu umemlenga mtu mmoja tu...
sa sijui ni nini kinaendelea.....haya haujatufikia ila umemfikia
 
nimesoma mwanzo hadi mwisho...nimegundua ujumbe huu umemlenga mtu mmoja tu...
sa sijui ni nini kinaendelea.....haya haujatufikia ila umemfikia

Haujamfikia bado....msaidie kumcc
 
we mbulumbundu umekuja ku-edit baadae....orijino uliyoandika utadhani umefumaniwa vichakani nilishindwa kusoma....sasa hapo sijui nani ndo ana f!!!
------ yakoooo , hivi hujui ukipost jf post yoyote ile na ukisoma kwa mda huo unakuta bado jf haijaarange fresh post kengele zako muda wa kuedit sna
 
na ndomaana umekuwa nabii mweusi...mwanga kwako ni kitendawili...
kwa kwa kwa vaislay amenuna looo!!!!!best huo ni ujumbe ila ulizani ni wa mlengwa !akuu ndo maana ni mejibu ni ww labda but hata ww unakuhu.........
 
Lilipost Li dada 1 hiv likawa linaponda eti. Mdogowake kaolewa Ye hawezi kuolewa kisa ma ant wanamshinikiza likatoa misababu kibao najua jiwe limetupwa kwake Afadhari mwenyewe nililichana likanifuata pm ,wadada acheni uzungu jitu lipo tandale linajifanya la UK shwain uzungu waachie wazungu we mjaluo dumisha mila zako shwain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…