sidhani kama hii story ni kweli
sidhani kama hii story ni kweli
Hapo akitaka waende sambamba na huyo mpenzi wake nae aokoke tuu la sivyo huo uhusiano hata uweza..
wewe umemshauri nini huyo rafiki yako? awaone wachungaji wake wamshauri pia maana yeye hatamwelewa,pia ikiwezekana naye aokoke halafu ndio aanze kutoa ushauri,vinginevyo itakuwa ngumu Mwambie jamaa ajisogeze madhabahuni mwa Bwana
napita tu, vip yule mchumba ako ushamtema?