Usipande DCM za Sinza-Gmboto kama mjamzito utazaa Njiani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,206
22,438
Kama mjazito jitahidi usipande hizi dcm utamtoa mtoto kabla ya muda.Leo tumepanda basi dereva anarusha watu ovyo mpaka aibu mama mmoja ana ujawepesi akazirai ghafla.Tukamshusha na kukimbiza kwenye tax to hospital.

Hata ukiwa kwenye siku zetu si gari za kupanda hata kidogo.

Angalizo tu
 
[QUOTmjamzi
wa bongo;10932544]weka picha[/QUOTE]
Haahaaaa unapenda picha utotoni ulimisi sana hivi hay a

1.ya mjamzito
2:ya basi
Ya abiria wakibeba mgonjwa
 
Sitaniii
Kama mjazito jitahidi usipande hizi Dcm
Utamtoa mtoto kabla ya mud a

Leo tumepandanbasi dereva anarusha watu ovyo
Mpaka aibu mama mmoja ana ujawepesi akazirai gafla
Tukamshusha na kukimbiza kwenye tax to hospital

Hata ukiwa kwenye sikuzetu si gari za kupanda hata kidogo

Angalizo tu

Wewe na abiria mliokuwemo humo ndio wenye matatizo utamwachache dereva anawarusha hovyo, ikitokea ajali nyie ndio mnaanza kulamumu polisi wakati nyi wenyewe mnauwezo wa kumuonya asiendeshe hovyo na asipotii anyo lenu simu lukuki za polisi zipo ni kuchukua hatua muafaka
 
Mkuu Gari hizi za dcm ni majanga liwe la gongo la mboto mtongani au mbagala ni majanga wako rough sana hawa madereva
 
Madai yao wanawahi kuchukua abiria ili hesabu ibalance
 
[Qname TE=Kicheruka;10932605]Wewe na abiria mliokuwemo humo ndio wenye matatizo utamwachache dereva anawarusha hovyo, ikitokea ajali nyie ndio mnaanza kulamumu polisi wakati nyi wenyewe mnauwezo wa kumuonya asiendeshe hovyo na asipotii anyo lenu simu lukuki za polisi zipo ni kuchukua hatua muafaka[/QUOTE]
Watakuita Pdidy. MKUU

Rekebisha ;;;UTamwachache;;;

M na
 
Basi saivi wangekua wengi wameshazaa, alikua mgonjwa tangu mwanzo tu uyo

Mmmmh. KWakweli hizi daladala ni chanzo cha pressure pia. Mtu unakaa bila amani mwanzo hadi mwisho wa safari, na ukifika unashukuru Mungu
 
Mmmmh. KWakweli hizi daladala ni chanzo cha pressure pia. Mtu unakaa bila amani mwanzo hadi mwisho wa safari, na ukifika unashukuru Mungu

hata wanaopanda ndege pia wakifika hushukuru, usiwatishe watu ni miundombinu mibovu tu
 
Kama mjazito jitahidi usipande hizi dcm utamtoa mtoto kabla ya muda.Leo tumepanda basi dereva anarusha watu ovyo mpaka aibu mama mmoja ana ujawepesi akazirai ghafla.Tukamshusha na kukimbiza kwenye tax to hospital.

Hata ukiwa kwenye siku zetu si gari za kupanda hata kidogo.

Angalizo tu

Sasa wewe Pdidy ni mwanamke au mwanaume.
Siku zako tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom