Kujidhalilisha ni chaguo, wapo wanaoabudu watu badala ya Mungu kila mahali.Napenda sana wanangu wakue nje ya nchi hii ili wajenge mentality ya kuishi bila kujipendekeza.
Maana hapa nyumbani ili utoboe lazima ujidhalilishe kwa wakubwa na watakupenda.
Hivi Bosi lile wazo lako la kuongeza mke wa pili bado unalo tu???Ni kweli ulichosema mkuu ukipata adui unaemmudu muombee dua...je?..wewe ukiwa unapitia magumu wao watakuombea dua??....hapo ndipo panapotufanya wengine tubadirike tulizaliwa tukiwa na roho nzuri kama ya mtume muhammad lakini leo kutokana na ya walimwengu tumekuwa na roho kama ya shetani
Kumbe kule kujitowa akili kote ndio umekuja kulijuwa leo?Napenda sana wanangu wakue nje ya nchi hii ili wajenge mentality ya kuishi bila kujipendekeza.
Maana hapa nyumbani ili utoboe lazima ujidhalilishe kwa wakubwa na watakupenda.
Nimeishaongeza tayari....vipi mbona umekuwa kimya sana..uwe unajitahidi kunikumbusha hata kwa meseji kichwa kina mambo mengi sanaHivi Bosi lile wazo lako la kuongeza mke wa pili bado unalo tu???