Usiombee kukosa hela

Haya maisha acheni tuu isee...

Inatokea huna hata mia,hujui unaishije mchana kutwa..asubuhi unakunywa maji.

Mimi huwa nalala masaa yanaenda tuu.

Mchana ukifika ilikuwa nakula tuu sukari maisha yaende...kwa sabbu ndo kitu kinacho kuwa kimebaki ndani,na huwa inadaiwa kuwa ni kituliza njaa

MAISHA HAYA

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa 2019 way back. But since 2020 April nilikataa hiyo hali.
 
lipa deni mkuu
 
Tunaamani siku njema/nzuri ziko karibu kuja.
 
haya maisha haya, kuna wakati mate yalinidondoka kwa kutamani chakula alichokuwa anakula mtoto wa jirani yangu, baada ya kushinda njaa takribani siku nne,yaani sikuwa na hata mia mbovu.

namwomba Mungu nisirudi nilipotoka.
Mkuu siku ingine ni bora uombe msaada kushinda njaa kunaweza sababisha utoboke utumbo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameen Inshallah
 
mkuu si ungewapigia watu wote uliokuwa nao kwenye simu angetokea mtu tu akutumie hata elfu 5
 
shida nyie zisikieni tu ushawahi kushika simu unaanza namba ya kwanza ad ya mwsho huon nan wa kukupa ata buku mbil na apo una mke na watoto na mdada wa kaz? Yan kuna kipnd maisha yanakutandka ad housgirl anakusaidia kuwaza mana ww na mke wako mshanoki ubongo yan mdada wa kaz yeye ndio anajiongeza anajua duka gani akienda awez kosa mchele kwa kukopa na kibanda gan awez kosa chainiz za jero
wanaume tukipata hela tuwen na akil na heshima ya pesa pia shida zipo na zikimaliza kukufundsha na zkaona somo limeeleweka ua zinaondoka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…