haswa, ndio kipindi hicho, hata mimi revo square sikuwahi kukosa, mzee aristotle akimpaka mkandala huku sie makofi na mbwembwe kibao huku macho unayaangaza huko na huko tayari kwa chochote kutokea.
nyimbo zetu bwana " kama sio juhudi zako nyerere, kama sioooooo, kama sio juhudi zako nyereree, mkandala angesoma wapi? watu mzukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee