Kata kata, mmmh mpakaLast weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
mwache mgonjwa apatiwe tiba ya kitumbua chake.
ningepajua kwako nami ngekuja kukutibu hayo maumivu unayopitia nadhani ungelala bila maumiv
Ila nyie wanaume basi tu Mungu awasaidieEeeeh itakuwa hivyo mzee, jamaa kamchapa kimoja cha maana mpaka akapatwa na uzingizi kabisa jamaa akaona avae zake vest arudi sitting room aangalie TV.
Ila sisi wanaume kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23] sijui tukoje walahi hadi mwenyewe najishangaaga sana, huyu mwanamke usikute anampenda mumewe na ameamua kujilinda kwajili ya ndoa yake lakini fala moja hivi linaanza kumtibua. Sasa ngoja bidada naye akisalambuka aanze kugawa mbunye pale kitaa kulipa kisasi mwanaume ataumia sana tena sana mnooo.
Niseme na nikiri, sisi wanaume kwa asilimia 99% ndio chanzo cha hawa wanawake kuwa makavera na pasua vichwa. Unahisi huyu bidada anavyoumia baadae atajiunga na lile kundi la F.karume Twitter wanaojiita wanatetea haki za wanawake kwa kutukana wanaume na kuwadharirisha yote kwa sababu ya sumu ya kuumizwa huko nyuma.
Rest in peace hiyo ndoa
Happy dude [emoji67][emoji538]
Sasa unamchunguzaje?pole dada,,,jaribu kumchunguza kwa kina huyo mume wako
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Unadhani kwa khali hyo anaweza kuwa na genye.ningepajua kwako nami ngekuja kukutibu hayo maumivu unayopitia nadhani ungelala bila maumiv
ikiwa hujawahi shuhudi akifanya Jambo lolote huko nyuma ambalo lilifanya utie Shaka uhaminifu wake kwako basi uhenda Ni kweli mumeo alimsaidia Tu huyo mdada Kama mfanyakazi mwenzie.Sasa unamchunguzaje?
Sasa kama wewe ni new hamida tatizo nnLast weekend nilikua kazin kwangu/ dukan.
Mme wangu siku hiyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike.
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen.
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi.
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
Acha kunichongea best [emoji12]Ina maana usingerudi angepumzika kisha akaenda zake na usijue kua alikuja kwako.
Nimeumia kama nimetendwa mie.....akili zangu nazijua
Sent using Jamii Forums mobile app