Usiombe mwanamke akuchoke!

aya nitaachana nae...... nashukuru sweet wangu nakusubiria january ....
na uachane naye kweli kweli maana si unajua adhabu za siku hizi ni :A S-fire1: tu

Hata mimi nawakubali sana, Samahani hivi umeshaolewa dada miss chagga
nakuona ume-like hii comment, sijakuelewa bado na huyu ni mwingine naye, hayaa

Haya ni-PM namba yako nikucheki fasta ili uende kuhesabiwa ukiwa njema zaidi au vp?
na huyu naye umem_PM namba yako sio, haya

unatuma kupitia BANK AU NINI?
Pesa ninazokupa hazikutoshi sio mpaka unaamua kuhongwa huko nje, nway
Nipo mitandao yote wewe tu.
hapa nafanya monitoring tu
Bado sijaolewa .
Umeamua kunikana kwa sababu ya pesa sio bana, kweli wachaga noma, moyo umeniuma sana
okey nakusubiria nitakutumia bank acc? Nadhani utaweka za kutosha
haya bana krisimasi njema
hongera mkuu kwa kuchukua mke wa mtu kiulaini ila kitakachokupata utaenda kusimulia dunia nyingine maana hii ya mwili na nyama utakuwa umeshaiaga
 

Mokoyo we ndo mume wangu wa kweli. dalalitz huyu kajipendekeza mwenyewe na me siwezi kukataa pesa.... ITEGAMATWI avatar yake imenivutia sikujua kama ungeona mpenzi Mokoyo naomba nisamehe
 
aya twende kimya kimya asisikie nikanyimwa hela ya matumizi na sikukuu ndo hiyo....
usijechoma tu mali zetu.... pole mume wangu usijali nakupenda sana
Haya nimeshafika kimya kimya, nakusubiria wewe tu! Umeiona namba yangu ya simu nimekutumia PM?
Msifikiri siwasomi, muda uvumilivu wangu utakapofika ukingoni ndio mtakapojua je mimi ni Mchaga, Mkurya, Mmaasai au Mnyakyusa......endeleeni tu kuvunja amri ya sita kwa kutamaniana
 
ITEGAMATWI nakusikitikia sana maana huwa sibishanagi na wezi wa mali zangu, wewe ni kukubebesha busha tu la kilo kumi, utaacha kuzengea mali za wakubwa



Thubutuuu!! Nimeaga Tabora kwa matambiko ya Mtemi Milambo! Watu tumepikwa kwenye vyungu vya maswezi kwa wiki nzima. Usijaribu kabisa hiyo litakurudia mwenyewe hilo Busha mkuu! Ha ha ha haaaaa.
 
Msifikiri siwasomi, muda uvumilivu wangu utakapofika ukingoni ndio mtakapojua je mimi ni Mchaga, Mkurya, Mmaasai au Mnyakyusa......endeleeni tu kuvunja amri ya sita kwa kutamaniana

mpenzi sijavunja amri jamani nafasi yako haiguswi hata kwa kitu gani wala usijali.... me si huwa nakuadithia kila kitu jamani sifichi
 
Thubutuuu!! Nimeaga Tabora kwa matambiko ya Mtemi Milambo! Watu tumepikwa kwenye vyungu vya maswezi kwa wiki nzima. Usijaribu kabisa hiyo litakurudia mwenyewe hilo Busha mkuu! Ha ha ha haaaaa.

Mokoyo usithubutu hawa huwa wanaamisha nyumba kji kimoja kwenda kingine mwache tu.... awezi faidi kama wewe
 
umeyataka mwenyewe... kufikishana ni zaidi ya physical acts
 
Hayo n maneno ya mkosaji 2..hata mm nilikua na bint wa kitanga alikua akinisifia sana ila baada ya kuachana akawa anaongea maneno kama hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…