Usiombe mwanamke akuchoke!

hawazijui show zetu wao kila siku kutupaka ubaya

Sijaeleweka, au?, Hili ni tukio la kweli limenitokea na nimeamua kushea na wadau.Hata kidogo sikumaanisha kuwananga akina mangi jamani.
 
Hivi nikweli ama nikamsemo tu kwamba hawajui mapenzi? Ila kwa uzoefu wangu na hawa watu ni sifuri japo siamini kama asilimia kubwa wako hivi.
Sasa hivi tunaishi katika duna huru ambapo watu wana nafasi ya kujifunza mengi na kuyafanyia kazi kirahisi zaidi.
Kwa uzoefu wangu baada ya wao kuvuma kwa sifa ya kwamba wako nyuma sana kunako anga hizo sasa hivi wanajitutumua na kujifunza hivyo ukiingia tu kichwa kichwa unakuta wako safi ushangae.
Utamu wa ngoma ni ingie ucheze, mtafute mmoja ujaribu halafu... halafu nakupa siri,
Hawa ndugu zetu baadhi yao naona kama vile hawanga hiyana saaana (kwa uzoefu wangu mdogo-Hii ni siri yako) hembu jaribu
 
REMEMBER THAT!Always women are like children.

yaleyaleee....!! hivi tutaheshimiana lini lakini? kila siku oo wanawake....!! inachosha bana! mkae peke yenu duniani basi tuone kama mtaweza! alaa!
 
Sasa kama unajiamini kuwa una uwezo, kwa nini waja lalama hapa?

Wenye uwezo huwa na maneno machache, bali vitendo vingi...
 
when a woman z fed up there z nothing you can do (can't remember mwimbaji)
 
Sijaeleweka, au?, Hili ni tukio la kweli limenitokea na nimeamua kushea na wadau.Hata kidogo sikumaanisha kuwananga akina mangi jamani.

Umetunanga kwa sababu umeaema ulijifanya mchaga...
 
yaleyaleee....!! hivi tutaheshimiana lini lakini? kila siku oo wanawake....!! inachosha bana! mkae peke yenu duniani basi tuone kama mtaweza! alaa!
Wakikosa wasiambiwe?
 
Hivi nikweli ama nikamsemo tu kwamba hawajui mapenzi? Ila kwa uzoefu wangu na hawa watu ni sifuri japo siamini kama asilimia kubwa wako hivi.

endelea endelea na uchunguzi, ongeza namba yao uje utuletee conclusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…