Usiombe kuoa mke nuksi

Usiombe kuoa mke nuksi

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
MUME:haloo mke wangu..nimepata ajali nikielekea kazini.elizabeth amenileta hospital.japo kichwa kimepasuka madokta wamesema nitakua sawa ila wamenipiga x-ray mbavu tatu zimevunjika na huenda wakanikata mguu.

MKE: ELIZABETH NI NANIIII?????
 
Hahahaa....duuuh maelezo yote hayo alichosikia ni jina la Elizabeth tu???? Mungu aturehemu sisi wanawake mengine tunayafanya kwa bahati mbaya
 
Mwambie ni mchepuko tulikuwa tumetoka pamoja wakati tunarudi ndo tukapata ajali???????
 
mmmmh! na vise versa ni true jaman, cyo kwa mwanamke tu, hata mwanaume anaweza kuulza kitu kama hcho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom