moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
*Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi usingizi ule wa kukesha jana yake*.
*Halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi*.
*Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika*.
*Mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na wewe chini* 🤣
*Mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hasira + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel!*
*Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nini*