Namna hii ndo mana nawashauri wadogo zangu akina miss neddy kuwa bora mwanaume mwenye hela tu hata akikumwaga hujutii sana mana umefaidi.....unasota weee then matunda anakula peke yake
hahahaha unapigwa free p mambo yakiwa mazuri anafaidi mwingine lol
Si Bora ale peke yake!Namna hii ndo mana nawashauri wadogo zangu akina miss neddy kuwa bora mwanaume mwenye hela tu hata akikumwaga hujutii sana mana umefaidi.....unasota weee then matunda anakula peke yake
Si Bora ale peke yake!
Anasaka vibint vya Kula nae!!
Mijanaume ya hivi ni kuiombea tu ife ikiwa maskini,Mungu awape hela ya Kula tu wasife njaa.
hiyo ikitokea msusie hadi nguo zako ondoka kama ulivyo
laana yake aiseeeee haina tiba
Kweli kabisa aisee ila wachache wanaofanikiwa na ujinga huu
hiyo ikitokea msusie hadi nguo zako ondoka kama ulivyo
laana yake aiseeeee haina tiba