Sham777
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 335
- 840
Nimeona baazi ya Wanawake wengi wana penda ku rush mambo ili ku prove kwa wenzao hasa kwenye ishu za mahusiano..
Tumeona dada na wadogo zetu Wameolewa na wanaume wasio na kipato cha kueleweka ili mradi tu wa Prove kwa wenzao kuwa nao wameolewa wapo katika ndoa na mwisho wake umekuwa mbaya kutokana na changamoto mbaya za maisha wanazo pitia katika ndoa zao.
Wew sio mwanamke wa Ndoto zake.. Wanaume wengi tuna wanawake wa ndoto zetu ila kutokana na kuwa nakipato kidogo tunashindwa fikia malengo ya kuwa na wanawake wa ndoto zetu na kuchukua mwanamke yoyote ambae ni cheap tunae weza kum afford.. Na ndio maana tunaona wanaume wengi wenye ndoa zao wanaendelea kucheat hasa pale wanapo pata kipato kila siku anabadirisha wanawake.. Ivyo kaa tambua wew sio mwanamke wa ndoto zake Muda utazungumza pindi atakapo anza kupata vijicent na kukuonesha tabia zake alizo zi hide kipindi hana kitu..
Smart Women Marry for Money
Wanawake ambao huchagua wenzi wao wa maisha walio na pesa wanaendelea vizuri kuliko wenzao ambao hawafanyi ivyo. Wanawake hawa wanajua kuwa ili ndoa iweze kujengwa lazima fedha iwepo na jukumu kubwa katika uwezekano wa ndoa kudum ni la mwanaume. Mwanamke alie kamilika kifikra na amekomaa kiakili anahitaji Mwanaume aliye na hela. je unajiona wapi katika miaka 2? Miaka 5? Miaka 10? Jibu hilo litaamua mwenendo wa Mahusiano yako.
NB
Neno langu sio Sheria endapo utaona ushauri wangu sio mzuri chukulia kama ni utani tu..