Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Ukweli Unauma.Kwaani kule jela yupo na nani? Si yupo pekeyake? Hizo ndo kauli za kipuuzi. Ukumbuke wakati upo shule hata mkifeli darasa nzima hutakiwa kusema mbona tumefeli wote bali sema nimefeli kulingana na juhudi yako darasani. G.lema ni man alone
Upo nae thru keyboard ( smartphone)Haupo peke yako, be strong and more strong
Watanzania tupo nyuma yako
Tunajua unaonewa, unadhihakiwa
Serkal inajipima uungaji mkono kwa wananchi kipitia wewe
Sisi ukawa ni kama familia we talk the same language, we share the pain, we share the common interest
Your not alone G.lema, this sunday I will dedicate to you through prayers
Serkali inatengeneza sumu ambayo huko mbele itawaathiri wenyewe
Dhuluma haijawi kushinda haki
Hahaa, ndo kampan yakeilobakUpo nae thru keyboard ( smartphone)
Uko naye kivipi kwani na wewe uko kisongo rumande? Hiyo ni Faraja hewaHaupo peke yako, be strong and more strong
Watanzania tupo nyuma yako
Tunajua unaonewa, unadhihakiwa
Serkal inajipima uungaji mkono kwa wananchi kipitia wewe
Sisi ukawa ni kama familia we talk the same language, we share the pain, we share the common interest
Your not alone G.lema, this sunday I will dedicate to you through prayers
Serkali inatengeneza sumu ambayo huko mbele itawaathiri wenyewe
Dhuluma haijawi kushinda haki
HahaaYe si bwana ndoto za maono..?ajiotee basi yuko uraiani
Hilo LA kwenda rumande huyo Lema mwonaji maono koko hakulionaYe si bwana ndoto za maono..?ajiotee basi yuko uraiani
Ukweli Unauma.
G,Lema Hata Mie Namuombea Wasimtilie......Mu Mana Ccm hawachelewagi Kufanya Hayo Mambo.
Mmh, kamsaidie na kukaa jela kama kweli uko pamoja nae
Upo nae thru keyboard ( smartphone)