Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
975
Reaction score
1,356
Habari wana JF.
Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo.

Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote yule mwenye Nia/ndoto ya kufanya biashara anaweza kumudu, mfano zipo fremu za 250,000 juu ghorofani, chini kawaida na underground zipo za 400,000 zipo za 450,000 zipo za 500,000 zipo za 600,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 na kuendelea inategemea na mtaa pia na sehemu yani namaanisha Kama ni underground, juu au chini kawaida.

Hivyo basi wale wote wanao hitaji fremu za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama M-PESA , MIXX BY YAS zamani TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA, CRDB wakala, NMB wakala, NBC wakala n.k, kuuza simu, kuuza underwear(boxer,chupi,soksi,taiti n.k), kuuza vinywaji kama soda, maji, juisi n.k, kuuza vifaa vya simu, kuuza vyakula, kuuza mifuko kwa jumla, kuuza t shirt, kuuza vifaa vya ujenzi, fremu za pharmacy, stoo za mizigo, kuuza vifaa vya saloon, kuuza computer, kuuza nguo za michezo, stationary n.k karibuni fremu zipo nyingi sana.

Pia Kuna fremu Hapo chini nimeweka "video" inauzwa Kwa shilingi milion 18.5 tu ipo mtaa wa msimbazi(Muhonda na msimbazi) karibu na makao makuu ya klabu ya Simba SC kariakoo. 👇👇 Karibuni sana.

"YOU WIN WE WIN"
 

Attachments

  • VID_20250408_161549.mp4
    12.6 MB
Dalali on the making,,,, ! Uzi umekaa kijanja sana,,,, walau underground, huko juu watu wavivu hawapandi kabisa!
Inategemea na mtaa Sir. Kuna mitaa juu, chini na underground kwote wateja wanafika.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Habari ndugu zangu naulizia mtaa au duka kariakoo ambalo nitaweza kupata kwa bei ya supplier ili niweze kuuza kwa jumla au rejareja tafadhali nisaidieni
1. Vitenge
2. Electronics za jikoni
3. Vyombo
4. Mashuka
5. Mapazia
6 viatu
7. Mikoba ya kike
 
Back
Top Bottom