Usioe mwanamke masikini

Usioe mwanamke masikini

Usioe maskini, mara usioe nwanamke aliesoma, hujakaa sawa unakutana na Uzi unasema usioe mwanamke ambae sio bikra, ukipita huku unakutana na mwingine anadai mke mjeuri kisa anafanya kazi. Kuna wengine wanadiriki kusema usioe mwanamke wa kimbulu.

Swali linakuja kwa nyie wanaume. Mnataka nini haswa? Hamueleweki
 
Wanakusomeshea watoto wako Marian girls na tusiimee...nyoooooooo wadanganye wajinga wenzio (kwa sauti ya kizaramo).
 
Me sijaelewa, kwann umesema usioe mke masikini halafu chini ulichozungumzia na ushauri uliotoa vinakinzana na jina la uzi?!
Aisee unajua ifike wakati muwe mnaangalia mnavyopost sio kupost uzi na vitu vya kutunga tunga wengine humu ndani ni watu wazima na tupo hapa kuwashauri nyie akina bwana mdogo ambao siku hizi bila ushauri mnapotea sana
Maana yake anarekebisha maoni na msimamo wake ktk mada yenye iliyokuwa na kichwa cha habari kama hicho aliyowahi kutoa zamani.
 
Imezoeleka kwamba kijana wa kiume akimuacha mpenzi/mchumba wake wa muda mrefu watu huwa wanasema amemuharibia mwenzie maisha na kumpotezea muda, lakini kiuhalisia wanaoongoza kuwaacha wapenzi wao ni vijana wa kike/wanawake, jamii haioni kama wanaume nao wanapotezewa muda wao?
 
Ukitembelewa na wageni kama hao na wakataka kuishi kwako kimjini mjini nikuwageuza nguvu kazi ya biashara.Wengine kuuza Maji na wengine karanga wengine matikiti nk. Mpaka wanipe mafanikio.
 
Mimi sio maskini..hata hao mashemeji waje kunisaidia vipi mimi sioi masikini huwezi kuishi kwa hisani
 
Back
Top Bottom